Rais wa Kwanza Afrika Mashariki | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais wa Kwanza Afrika Mashariki

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Nginana, Jul 14, 2012.

 1. N

  Nginana JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2012
  Joined: Feb 7, 2009
  Messages: 774
  Likes Received: 635
  Trophy Points: 180
  Wana-JF hebu angalieni hii katuni iliyochapishwa katika gazeti la The Citizen la Jumamosi tarehe 14 July, 2012 ambayo inawaonyesha marais walioko madarakani kwa sasa na kila mmoja na utambulisho wake (icon).

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. Asa'rile

  Asa'rile JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2012
  Joined: Jun 29, 2012
  Messages: 426
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kagame tu baba
   
 3. nngu007

  nngu007 JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2010
  Messages: 15,871
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145

  K - Kibaki - Tribalism
  M7 - Museveni - Democracy
  P - Pierre N - Instability
  JK - Kikwete - Corruption

  Rwanda Shati limechanika ina Maana na Jina Halipo ina Maana Watu Wanapotea Wanakufa hawajulikani

  Wanakufaje Sio Mahali pa kuwa na Upinzani, Kagame akiona Mpinzani anatuma secret police kuwavunjilia

  mbali... Damu Mkononi Ndio mnataka awe rais wa East Afrika???

  WHAT A SHAME!!!
   
 4. Neiwa

  Neiwa JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 730
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 45
  Katika wote hao pamoja na Dhaifu zao, Kagame is the best selection; Jamaa hanaga maneno mengi, yeye ni kwa vitendo tu! Na hio icon ya ukabila naona kama hajatendewa haki, kaweza kuona beyond that. Asikwambie mtu, kuweza control na kuwaweka sawa raia ambao wamegawanyika katika two conservative groups sio lelemama.. na yeye hilo kafaulu.
   
Loading...