Rais wa jf

kikahe

JF-Expert Member
May 23, 2009
1,350
282
Hivi JF ina Rasi wake? maana nimekuwa nikisikia marasi kibasi kibao Tz. Mfano, Rasi wa jamhuri ya muungano wa Tz, raisi wa TFF, Raisi wa BUT, Raisi wa wasafi, rais wa masharobaro,Rasi wa Manzese , raisi wa watangazaji nk.
 
Kuna Urais naona wakufaa sana.
Ngoja nikasome tena kanuni nitarudi.
 
Hivi JF ina Rasi wake? maana nimekuwa nikisikia marasi kibasi kibao Tz. Mfano, Rasi wa jamhuri ya muungano wa Tz, raisi wa TFF, Raisi wa BUT, Raisi wa wasafi, rais wa masharobaro,Rasi wa Manzese , raisi wa watangazaji nk.
sasahivi imebaki nafasi ya first lady tu sijui kama itakufaa ?
 
Hivi JF ina Rasi wake? maana nimekuwa nikisikia marasi kibasi kibao Tz. Mfano, Rasi wa jamhuri ya muungano wa Tz, raisi wa TFF, Raisi wa BUT, Raisi wa wasafi, rais wa masharobaro,Rasi wa Manzese , raisi wa watangazaji nk.
<br />
<br />

Rais au CEO wa Jf ni Max Mello.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom