Rais wa Guinea Alpha Conde atua Gambia

Kibo10

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
11,277
8,850
++++ Rais wa Guinea Alpha Conde na mwenzake wa Mauritania Mohamed Ould Abdel Aziz wameeleekea Gambia kufanya mazungumzo na Yahya Jammeh.

++++ Jammeh alipewa hadi saa sita mchana kuondoka madarakani au jeshi la ECOWAS liingie katika mji mkuu Banjul

++++ Karibu watu 45,000 wamekimbilia nchi jirani Senegal wakihofia machafuko
Huyu jamaa ni mbishi zaidi ya Gadafi
 
Yahya Jameer kweli kichekesho.Anafanya Mapinduzi wakati hana Jeshi.
Afrika vituko haviishi.
 
Muda umemalizika zaidi nusu saa iliyopita Jammeh is a fugitive running scared.
 
Kwa maneno na matendo ya rais wetu nikizingatia kilichotokea zanzibar nauhakika kabisa huyu wa kwetu atafanya vituko zaidi mpaka trump aingilie kati
 
Huyu Alpha Conde anaheshimiwa saana na Jammeh ,Jammeh anamheshimu sana huyu Conde

Kama Jammeh hatomsikiliza Conde basi hatomsikiliza yeyote yule ,

Natumai Jammeh atamsikiliza na kumuelewa Alpha Conde na kuachia madaraka
 
++++ Rais wa Guinea Alpha Conde na mwenzake wa Mauritania Mohamed Ould Abdel Aziz wameeleekea Gambia kufanya mazungumzo na Yahya Jammeh.

++++ Jammeh alipewa hadi saa sita mchana kuondoka madarakani au jeshi la ECOWAS liingie katika mji mkuu Banjul

++++ Karibu watu 45,000 wamekimbilia nchi jirani Senegal wakihofia machafuko
Huyu jamaa ni mbishi zaidi ya Gadafi
Mkuu si aliamua kukata rufaa na bunge likapisha lifanye uchunguzi juu ya suala hilo, sasa kwanini huyo mwingine aaapishwe mafichoni ilihali mwenzake amefuata sheria. Kwanini asisubiri maamuzi ya rufaa

UNAJUA HAPA NDIPO NINABAKI NA ALAMA YA KUULIZA,
 
Maamuzi ya rufaa kwa mhuni Jammeh, hauko serious!!!! Give us a break
 
6feeb06c94fb85c92f38749c41c0aa28.jpg
 
Back
Top Bottom