Abu Ubaidah Commando
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 7,590
- 6,956
Wa ajabu kweli yule. Anyway, rushwa ni mbaya sana; hupofusha. Matokeo uwanjani yataamua.Sahivi anaitwa Hussein Infantino.
Mfantino atakua kashavuta pesa yake saaafi, anabwabwaja tuKwani waarabu hawakuwa na legacy? Qatar au waarabu wakitwaa kombe itaacha legacy zaidi kuliko maneno ya Infantino.