Rais wa Cyprus asema ametumwa aongee na Netanyahu

Rais wa Cyprus asema ametumwa aongee na Netanyahu

Israel hakuna sehemu ataiacha salama Huko Teheran kama IRGC HEADQUARTER imedondoshwa yote ni hasara kubwa Sana Kwa Iran... Ndiyo maana nusu ya wakazi wa Tehran wameanza kuondoka Toka asubuhi
Waziri wa ulinzi wa israel alitoa tangazo

Km unapenda kuishi nakuomba hama tehran kwa muda😀
 
Narratives zinabadirika taratibu, mwanzo mlikuwa mnasema Iran anaviziwa ajichanganye ili Israel na USA wambonde na kumfuta kwenye ramani ya dunia.

Hadi sasa USA anasita kutia pua yake kwenye vita.
Mmeanza kuleta porojo Iran anaomba usuruhishi.
Vipi USA ameghairi kuifuta Iran kwenye ramani ya dunia?
Sababu ya kumtwanga si ndio hii imepatikana, vipi mbona kama USA anawasaliti Israel!?

Mamaeeee, mnafikiri vita ni kuchezaa game ya Call of Duty!!!
 
Wapigane tu tatizo nini tena, muda wa maongezi uliisha mbona?
Iran hakutegemea kama angepewa kipondo cha panyaroad namna hii. Tatizo la Iran ni kuwa ayatollah akishapandisha majini akisema kitu basi inabidi wairan wafuate nimecheka nilikuwa nasoma report jinsi wanajeshi wa Iran wanavyolalama kuwa Israel inawazalilisha mnooo maana inawaua ka mbwa yaani ile fahari hata ndogo waliyokuwa wakijitapa nayo sasa imeisha.
 
Naona Mayahudi mnajifariji mnadhani itawasaidia kupooza mapigo?

Leo usiku kama kawaida Iran anashusha vitu vizito kuwahi kutokea hadi Mazayuni yapoteane.😂
 
Iran hakutegemea kama angepewa kipondo cha panyaroad namna hii. Tatizo la Iran ni kuwa ayatollah akishapandisha majini akisema kitu basi inabidi wairan wafuate nimecheka nilikuwa nasoma report jinsi wanajeshi wa Iran wanavyolalama kuwa Israel inawazalilisha mnooo maana inawaua ka mbwa yaani ile fahari hata ndogo waliyokuwa wakijitapa nayo sasa imeisha.
Waliambiwa wa sign makubaliano wasiingie vitani wakachagua vita sasa kwanini tena wanataka maongezi?

Wapigane tu ndio uanaume huo.
Walikuwa mstari wa mbele kuwapa silaha hamas, leo wao hawawezi kupigana.

Kweli mzigo mzito mpe mnyamwezi.
 
Weh kweli mwehu!
Unataka Ayatollah atoke apambane!?
😂😂😂
Kumbe anataka nani ampiganie vita yake?

Alikuwa anachonga mdomo hata kisu hawezi kushika, ndio atoke sasa huko akasaidie hata ashike fimbo tumuone akishiriki vita vyake mwenyewe.

Kamanda gani unaongea umejificha aridhini?
 
Yameamua kuja kujifariji huku, Iran kakanusha hizo taarifa,kwanza Iran akitaka kufanya hivyo hatowatumia cyprus au greece,bali Russia, Qatar, uae, Oman
 
Nasemaje nasemaje Israel msisklize nyau yeyote na kama mkiacha kupiga kisa mumeskliza yeyote anayetumwa hakika sitawasamehe, naacha ushabiki wangu na kutamani mpigwe tu, hii ngoma ilikua imekaa vizuri hadi sipati usingizi naangaza tu macho kweny vyombo vya habari kila mkipiga nahisi kilele fulani hivi
=====================

Iran has asked Cyprus to convey "some messages" to Israel, President Nikos Christodoulides said on Sunday, as the eastern Mediterranean island appealed for restraint in a rapidly escalating crisis in the Middle East.

Christodoulides spoke to Prime Minister Benjamin Netanyahu on Sunday, and he has also spoken to the leaders of Egypt, the United Arab Emirates, and Greece, his office said.

Earlier, Christodoulides told journalists Iran had asked Cyprus to convey 'some messages' to Israel but he did not say who specifically the messages were from or what they said.

Israel hacheki na wowote... Anapiga vibaya sana. Hayatollah yanagonga chupi yanarudi.
 
Sasa hapo ndipo ninapoona unafiki wa Russia ,juzi kati waliingia makubaliano ikiwa Iran itashambuliwa Rusia itaingilia kati lakini nashangaa hadi leo kimya hakuna msaada dhidi ya Iran.
 
Nasemaje nasemaje Israel msisklize nyau yeyote na kama mkiacha kupiga kisa mumeskliza yeyote anayetumwa hakika sitawasamehe, naacha ushabiki wangu na kutamani mpigwe tu, hii ngoma ilikua imekaa vizuri hadi sipati usingizi naangaza tu macho kweny vyombo vya habari kila mkipiga nahisi kilele fulani hivi
=====================

Iran has asked Cyprus to convey "some messages" to Israel, President Nikos Christodoulides said on Sunday, as the eastern Mediterranean island appealed for restraint in a rapidly escalating crisis in the Middle East.

Christodoulides spoke to Prime Minister Benjamin Netanyahu on Sunday, and he has also spoken to the leaders of Egypt, the United Arab Emirates, and Greece, his office said.

Earlier, Christodoulides told journalists Iran had asked Cyprus to convey 'some messages' to Israel but he did not say who specifically the messages were from or what they said.

View: https://x.com/BRICSinfo/status/1934336556514398702
 
Back
Top Bottom