Rais wa Cyprus asema ametumwa aongee na Netanyahu

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
33,512
Reaction score
53,477
Nasemaje nasemaje Israel msisklize nyau yeyote na kama mkiacha kupiga kisa mumeskliza yeyote anayetumwa hakika sitawasamehe, naacha ushabiki wangu na kutamani mpigwe tu, hii ngoma ilikua imekaa vizuri hadi sipati usingizi naangaza tu macho kweny vyombo vya habari kila mkipiga nahisi kilele fulani hivi
=====================

Iran has asked Cyprus to convey "some messages" to Israel, President Nikos Christodoulides said on Sunday, as the eastern Mediterranean island appealed for restraint in a rapidly escalating crisis in the Middle East.

Christodoulides spoke to Prime Minister Benjamin Netanyahu on Sunday, and he has also spoken to the leaders of Egypt, the United Arab Emirates, and Greece, his office said.

Earlier, Christodoulides told journalists Iran had asked Cyprus to convey 'some messages' to Israel but he did not say who specifically the messages were from or what they said.
 
Hiki kipigo hadi waseme, itakuwa Ayatollah kamtuma akisema shida iko wapi mbona haya mambo yanazungumzika?
 
Hizi habari kuandikwa na Aljazeera, chombo cha makobaz aisei basi Iran kapigika kweli ila mimi nataka wakalishwe yaani warudishwe nyuma mbali sana tu.
Ni vile wamezima internet, na ni vile ni marufuku kupiga picha, laiti watu wangenyaona maafa ya Iran wangeshika kichwa. Kwenye vita mara nyingi hakuna mshindi, wote lazima wapate maafa.
 
Uzuri ndege za Israel zina hadi camera, tumekua tukiona video za mapigo ila maafa yake ndio hatupati fursa ya kuona, tunaona dude limeshushwa na ndege kujiondokea, kinachofata ndio kingekua kitamu kuona.
 
Israel hakuna sehemu ataiacha salama Huko Teheran kama IRGC HEADQUARTER imedondoshwa yote ni hasara kubwa Sana Kwa Iran... Ndiyo maana nusu ya wakazi wa Tehran wameanza kuondoka Toka asubuhi
 
Hezbollah alizimiwa mawasiliano alaf akapigwa
IRAN vita inaanza tu, wakuu wa majesh wanakufa...
Hii vita Israel kaianza zaman nadhani kuna technology imetumika hapa ambayo haipo wazi
 
Hizi habari kuandikwa na Aljazeera, chombo cha makobaz aisei basi Iran kapigika kweli ila mimi nataka wakalishwe yaani warudishwe nyuma mbali sana tu.
Hapana hapo itakuwa Cyprus kapewa ujumbe hizo ndege zinazotumia uwanja wake wa ndege hapo cyprus kuja kupiga iran tunakuja kufumua hivyo viwanja vya ndege shida wairan huwa ni wastaarabu sana kwa hiyo ongea na huyo alikuambia anaweka hapo atoe ndio anapelaka ujumbe akikataaa vyuma vinashushwa hapo cyprus rejea kupindi cha hizbullah alishaitisha Cyprus mara nyingi kuwa atalipuwa hivyo viwanja vyao vya ndege mpaka wairan wanapiga missile mchana kweupe jua wameshaaamua kuingia vitani rasmi
 
Nasemaje nasemaje Israel msisklize nyau yeyote na kama mkiacha kupiga kisa mumeskliza yeyote anayetumwa hakika sitawasamehe, naacha ushabiki wangu na kutamani mpigwe tu, hii ngoma ilikua imekaa vizuri hadi sipati usingizi naangaza tu macho kweny vyombo vya habari kila mkipiga nahisi kilele fulani hivi
=====================

Iran has asked Cyprus to convey "some messages" to Israel, President Nikos Christodoulides said on Sunday, as the eastern Mediterranean island appealed for restraint in a rapidly escalating crisis in the Middle East.

Christodoulides spoke to Prime Minister Benjamin Netanyahu on Sunday, and he has also spoken to the leaders of Egypt, the United Arab Emirates, and Greece, his office said.

Earlier, Christodoulides told journalists Iran had asked Cyprus to convey 'some messages' to Israel but he did not say who specifically the messages were from or what they said.
Iran anapigwa matundu yote yaani kila eneo limeingiliwa na myahudi soma hapo chini anavyolia kuiomba Iraq
 
Hapana hapo itakuwa Cyprus kapewa ujumbe hizo ndege zinazotumia uwanja wake wa ndege hapo cyprus kuja kupiga iran tunakuja kufumua hivyo viwanja vya ndege shida wairan huwa ni wastaarabu sana kwa hiyo ongea na huyo alikuambia anaweka hapo atoe ndio anapelaka ujumbe akikataaa vyuma vinashushwa hapo cyprus rejea kupindi cha hizbullah alishaitisha Cyprus mara nyingi kuwa atalipuwa hivyo viwanja vyao vya ndege mpaka wairan wanapiga missile mchana kweupe jua wameshaaamua kuingia vitani rasmi
Iran inalialia ilifikiri myahudi ni wa kuchezeachezea
 
Uzuri ndege za Israel zina hadi camera, tumekua tukiona video za mapigo ila maafa yake ndio hatupati fursa ya kuona, tunaona dude limeshushwa na ndege kujiondokea, kinachofata ndio kingekua kitamu kuona.
Kuna mfuasi wa mwamedi humu alisema benjamini netanyau ametoroka israel na wakatuma hadi picha 😁😁😁

Nina mashaka makubwa na kile kitabu
 
Wafuasi wa mudi hawanaga reasoning hata 1% yaani ni maamuma 100% hayawezagi kujiongeza hata kidogo.
 
Back
Top Bottom