Rais wa China atua Dar

Rais wa China atua Dar

Chenge

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2011
Posts
1,073
Reaction score
378
Ndo ametua muda si mrefu. TBC wanaonesha 'live'
 
Wanatakiwa pia waonyeshe "live" maandamano ya CHADEMA kesho.

Waandamanaji ndio walipa kodi!

Bila kodi zetu TBC 1 isingekuwepo.
 
Ila kusema kweli nawapenda Wachina. Karibu Presida.
 
Wanatakiwa pia waonyeshe "live" maandamano ya CHADEMA kesho.

Waandamanaji ndio walipa kodi!

Bila kodi zetu TBC 1 isingekuwepo.

najivunia CDM yangu ni pango la watz wanaojitambua sana, yaani ni chimbuko la international figures, I bet wewe ni kijana wa CDM, CCM hawawezi kuwa na kifaa km wewe, congrats CDM
 
wamekatsha mpira wametuwekea hao macho madogo kwel hii ni tbccm
 
Hivi hiyo mikataba 19 ni ipi mbona hamna hata kiongozi mmoja aliyejitokeza kuiongelea zaidi ya bandari ya Bagamoyo au na siye ndio tunauzwa hivi watu wanaoshabikia ujio wa Jinping wanajua undani wake au wanashabikia tu baadaye wanaanza kulalamikia mikataba mibovu
 
Akitoka hapa ataenda DRC.Ktk dunia nchi ambazo zina untapped resources ya kwanza DRC,pili TANZANIA.na hiyo ndiyo target ya wachina
 
Enzi zile wazungu walikuja kwa nguvu na kufanya uporaji wa rasilimali zetu na tukajitahidi kuonyesha ukakamavu wetu kuzuia ukoloni.

Leo hii bado Tanzania na nchi zingine za Afrika hazioni haya ya kufungua milango yote kukaribisha mifumo mipya ya ubepari na ubeberu.

Inajulikana wazi kwamba China hawaweki nyuzi za masharti yoyote kwenye mikataba tunayofanya nayo na wanamezea Ufisadi na ukiukwaji wa haki za binadamu ili mradi wao wanapata rasilimali wazitakazo.

Leo hii barani mwetu kuna wachina wasiopungua milioni mbili wakifanya shughuli ambazo zingeweza kufanywa na waafrika wenyewe hata uchuuzi wa bidhaa mitaani, je watanzani atupo wangapi kule Uchina?
 
Hawa TBC ni waajabu sana mambo yanayogusa watanzania yakitokea wao wanaonyesha taarabu lakini uchaguzi kenya na wachina wao kwao ndo habari.
 
Yaani mpira wameshindwa kuonyesha
Lakini ndiyo Tanzania yetu.
 
Akitoka hapa ataenda DRC.Ktk dunia nchi ambazo zina untapped resources ya kwanza DRC,pili TANZANIA.na hiyo ndiyo target ya wachina

najiuliza ujio wa Xi Jinping ndo unatekeleza yale maelezo ya Jason bournekuwa wachina waliahidiwa rasilimali ikiwemo gas?
 
Last edited by a moderator:
Hivi hiyo mikataba 19 ni ipi mbona hamna hata kiongozi mmoja aliyejitokeza kuiongelea zaidi ya bandari ya Bagamoyo au na siye ndio tunauzwa hivi watu wanaoshabikia ujio wa Jinping wanajua undani wake au wanashabikia tu baadaye wanaanza kulalamikia mikataba mibovu

wana-mtwara wana akili sana,,,,,
 
Akitoka hapa ataenda DRC.Ktk dunia nchi ambazo zina untapped resources ya kwanza DRC,pili TANZANIA.na hiyo ndiyo target ya wachina

Wewe BONGOLALA hebu muwe mnafuatilia habari vizuri ,Hatokwenda DRC lakini atakwenda RC(Republic of Congo) au kwa jina lingine Congo Brazaville!! Kuna tofauti kati ya D.R.C na R.C au umesahau jografia ya darasa la tano?
 
Njaa mbaya sna hasa njaa ya akili...hawa TBCCM waancha kuonyesha mpira wanaonyesha Wachina halafu Rais anasema tuwe wazalendo..kama tv ta Taifa haina uzalendo mimi ntautoa wapi?!!
 
Huo ugeni ni muhimu na mzito mgeni lazima akirimiwe jaman kwa upandewangu sioni tatizo kwenye hilo!
 
Back
Top Bottom