Rais wa China atua Dar

Rais wa China atua Dar

Tuacheni maneno inauma jamani nchi iendavyo watanzania wote tuungane na wasemaji wetu chadema tusaidieni tujue mikataba 19 atakayosaini huyu rais wa china ni ipi iwekwe wazi si ajabu ndio nchi inauzwa na hawa wanafiki ccm na vibaraka wao majembe yetu kina mnyika,slaa,mbowe,lissu,mdee,gekuli,ndesamburo,30.owenya .kiwanga ,mngodo ,wenje ,machemuli,zito, nasari ,kahigi,arfi,lema,nyerere,mtinda ,lyimo,tunaomba muongoze wananchi kujua mikataba hiyo 19 inahusu nini na nini,
 
Back
Top Bottom