Rais wa china amewasili nchini muda si mrefu. La kusiktisha timu ya taifa<taifa stars> inacheza na moroco. Tbc wamekatisha matangazo ya mpira na kuweka ujio wa rais wa mchina. Je rais mchina anawazid watz 11 wanaocheza uwanjan na mashabik walioko uwanjan,nasi tunaofuatilia kuptia tbc 1? Je rais wetu akienda chna wao wanaweza kasitisha program zao za tv ili waweke matukio ya rais wa nchi ya tz kwenda kuwatembelea? Kwanini watz tunajidharau? Hii ndiyo maana watu wanashabikia matukio ya ulaya kuliko nchi yao kwan viongoz wa serikali wanaona michezo,utalii nchini ata nguo zetu havina mvuto. Ndiyo maana fanicha maofsin ni za nje badala xa mininga ya mpanda?nimeskitishwa na tukio la kutoa matangazo yanayohusu timu yetu ya taifa na kuweka ujio wa mchina. Ndiyo maana watz sio wazalendo tena kwa nchi yao. Tukipata vita kama vile ya idd amin,ni watz wangapi wanaoweza kujitoa kwenda kuipgania nchi yetu?