Rais umeruhusu Pinda, Mahanga na Masaburi kuhatarisha amani?

Makonda naomba nikufamishe mbinu chafu yenu nyingine nyie ccm kwanini Chadema wakishinda kila uchaguzi kwenye kutangazwa inakua shida sana? Mbinu yenu tumeshaijua
Kwani kwenye mjadala huu kuna mahala amechangia Makonda? Maana naona wengi mnamtaja pasi na sababu
 
Mbona heading na contents tofauti? Hapo kwenye hili bandiko wapi amani inahatarishwa? Kama kuna Mwenyekiti ameshinda na hajaapishwa, sheria inasemaje?

Jiulize kwanza kama kuna mtu wananchi wamemchagua halafu wakurugenzi wanakataa kumwapisha kwa kuwa tu ni wa cdm, amani inaendelea kuwepo!?
 
Jiulize kwanza kama kuna mtu wananchi wamemchagua halafu wakurugenzi wanakataa kumwapisha kwa kuwa tu ni wa cdm, amani inaendelea kuwepo!?
Mkuu, na wewe umelewa ujinga wa akina Crashwise? Hivi nchi hii ina vitongoji, mitaa na vijiji vingapi? Na je huko kwingine walikoapishwa hakukuwa na mvutano wa kisiasa? Wakati mwingine muwe mnatumia akili na si kuunga tu mkono upuuzi wa Crashwise
 
Rais hana muda wa kuhangaika na uchaguzi wa kitongoji.

Labda unajifanya umesahau kuwa ndiye mwenyekiti wenu wa chama! Hiyo style ya kujifanya umesahau ni sawa na wale wenzio ya kujitekenya na kucheka mwenyewe!
 
Mkuu, na wewe umelewa ujinga wa akina Crashwise? Hivi nchi hii ina vitongoji, mitaa na vijiji vingapi? Na je huko kwingine walikoapishwa hakukuwa na mvutano wa kisiasa? Wakati mwingine muwe mnatumia akili na si kuunga tu mkono upuuzi wa Crashwise

Labda utusaidie sababu za kukataa kuwaapisha washindi wa cdm! Otherwise wewe ndiye utakuwa hujatumia akili kuunga mkono uharamia wa akina Pinda na wakurugenzi wake!
 
....... Wakati mwingine muwe mnatumia akili na si kuunga tu mkono upuuzi wa Crashwise

Mkuu nasikitika sana kwamba umeamua kwa makusudi kutetea uovu na uminyaji wa demokrasia na zaidi kuwaita wapaza sauti eti ni wapuuzi

Kwani tatizo ni wingi wa mitaa na vitongoji ktk nchi au ni uporaji wa sauti ya wananchi? Iweje sehemu CCM wameshinda kusiwe na shida lakini sehemu UKAWA wameshinda kuwepo na mizengwe?

wagombea wote walijieleza mbele za wananchi na kila mwananchi alipima na kufanya uamuzi yeye mwenyewe sasa kwanini wasiapishwe?

Au ni kwamba Pinda na Mahanga hawataki kuwa chini ya uongozi wa CHADEMA mtaani kwao? Je hiyo nayo ni haki kweli?

Tuseme hapana, tukatae kwa nguvu uvunjaji wa katiba, uporaji wa haki za wananchi, kuchezewa kwa amani na mashikamano ktk nchi yetu

Kwa style hii ni dhahiri dahiri kwamba CCM inakufa tena kwa haraka sana
 
Mkuu, na wewe umelewa ujinga wa akina Crashwise? Hivi nchi hii ina vitongoji, mitaa na vijiji vingapi? Na je huko kwingine walikoapishwa hakukuwa na mvutano wa kisiasa? Wakati mwingine muwe mnatumia akili na si kuunga tu mkono upuuzi wa Crashwise

Shida yakuja jf na kinyesi ndio hii unakua na akili kama yako
 
Back
Top Bottom