Rais Uhuru Kenyatta akutana na Trump

Rais Uhuru Kenyatta akutana na Trump

Watakuja wenyewe hakuna haja kuwafuata, hapa Kuna kila kitu kinachotakiwa kwenye biashara za kimataifa.
huu mwaka mmoja na nusu ambao raisi hajasafiri mambo yamenyooka kuliko miaka 10 ya awamu iliyopita ya safari
 
Kenya ina sifa ya pekee katika Afrika ya mashariki na Afrika kwa ujumla:
1. Tangu uhuru imekuwa stable kuhusu uchumi ya kibepari
2. Tangu uhuru imesimamia mfumo mathubuti wa elimu
3. Tangu uhuru imesimamia sera ya viwanda.
4. Katika report ya Benk ya dunia kuhusu ease doing business imefanyika vizuri kwa miaka 10 mfululizo.
BIG UP KENYANS!
 
Back
Top Bottom