Rais Uhuru Kenyatta akutana na Trump

Rais Uhuru Kenyatta akutana na Trump

hao G7 hatuwataki maana kampuni za migodi zinazotuibia madini yetu zinatoka huko huko.
wachina ni matajiri sana, na mfalme wa Morocco atatujengea msikiti na uwanja wa mpira.tuna shida gani tena?
Hamna shida na mna viongozi wanaojua kusoma na kuandika hamna shida kabisa " pathetic "
 
Somalia politics is far way upgraded aise do some research utabaki mdomo wazi ......
Hakuna kitu kama hicho. Tafiti kwa nini hao viongozi wa Afrika wamealikwa kwenye huo mkutano ndio utaelewa.
 
Achilia kufanya mazungumzo na Trump, Kenyatta tu kisimama kwenye podium na kuhutubia Mkutano wa G7 ni kitu kikubwa sana.

Kumbuka wakubwa hawa G7 Wameiona Kenya ni Nchi inayofanya vema katika sera zake za uchumi and that's why Kenyatta was invited.

Note ni Nchi 3 tu Africa ndio walioalikwa kwenye huu Mkutano.. Kenya, Ethiopia na kama sijakosea Botswana.

Wakwenu yupo busy pale Magogoni kupokea report, kuteuwa na kutengua.
 
Mbona na sisi tunawakimbizi na Rais hajaenda
Hoja nikwamba alisema yeye hakuna kusafiri ilitubane matumizi full stop.
 
Achilia kufanya mazungumzo na Trump, Kenyatta tu kisimama kwenye podium na kuhutubia Mkutano wa G7 ni kitu kikubwa sana.

Kumbuka wakubwa hawa G7 Wameiona Kenya ni Nchi inayofanya vema katika sera zake za uchumi and that's why Kenyatta was invited.

Note ni Nchi 3 tu Africa ndio walioalikwa kwenye huu Mkutano.. Kenya, Ethiopia na kama sijakosea Botswana.

Wakwenu yupo busy pale Magogoni kupokea report, kuteuwa na kutengua.
Hivi hatuwezi kukata rufaa?kwanini Kenya wanapendelewa?
 
Back
Top Bottom