Rais Uhuru atuma rambirambi kwa ajili ya wanajeshi 15 wa Tanzania waliouawa

MK254

JF-Expert Member
May 11, 2013
31,671
48,445
Amelaani vikali hayo mauaji na kutuma rambirambi kwa jamaa na marafiki wa waliouawa na kwa rais Magufuli na kwa Watanzania wote. Amesema anaunga mkono jitihada zote za kuleta amani ya kudumu huko DRC.

---------------------------------------------------------------------------------------------------

- President Uhuru Kenyatta has penned a letter to President John Pombe Magufuli following death of 15 Tanzanian soldiers in the Democratic Republic of Congo (DRC) Read

- The 15 soldiers were reportedly killed on Thursday, December 7, by heavily armed militants while on peacekeeping mission in the DRC

- Uhuru has condemned the killings and condoled with the families and friends of those who were killed in the brutal attack President Uhuru Kenyatta has sent an emotional message to his Tanzanian counterpart President John Pombe Magufuli following the brutal killing of 15 Tanzanian soldiers in the Democratic Republic of Congo (DRC). In a letter shared on his Facebook page on Sunday, December 10, Uhuru condemned the brutal killings and condoled with families and friends of the 15 Tanzanian soldiers.
"The attack of the soldiers, who were serving the good cause of establishing sustainable peace in the DRC, was vile.The government of Kenya will stand with the government and people of Tanzania in seeking a peaceful and prosperous future for the region," Uhuru said

Uhuru underscored the crucial role that the soldiers played in the region's peacekeeping mission and promised to continue working closely with President Magufuli's government in the ongoing efforts to restore stability in the DRC.

The 15 soldiers were reportedly killed in North Kivu region of the DRC on Thursday, December 7, by heavily armed militants while on peacekeeping mission. According to a report by The Guardian, over 50 solders were injured in the deadly attack that pitted local Islamist extremist group against the UN peace-keeping soldiers.

While reacting to the assault, Magufuli expressed his shock and also condoled with the families of the Tanzanian soldiers who died in the line of duty. "I am extremely shocked to hear of the deaths of our young and brave soldiers and heroes who lost their lives carrying out their peace mission in the DRC," Magufuli said in a statement.

The UN Secretary General António Guterres has described the attack as the worst in the UN’s recent history and a "war crime”. Read more: Uhuru Kenyatta pens emotional letter to John Magufuli following death of 15 Tanzanian soldiers in DRC
 
hivi hili nilile Jeshi linabakwa na wanaboda:D..Kama wanatwangwa na vijana wa Congo,muziki wa alkebabs wataweza kweli.duh jwtz ni jeshi dhaifu na ovyo sana
 
Kwa niaba ya Watanzania nasema Asante!
 
WEWE
hivi hili nilile Jeshi linabakwa na wanaboda:D..Kama wanatwangwa na vijana wa Congo,muziki wa alkebabs wataweza kweli.duh jwtz ni jeshi dhaifu na ovyo sana
WEWE NI MGONJWA WA AKILI TENA SANA TU, WATANZANIA NA WOTE WAPENDA AMANI TUMEPATA AFRIKA MASHARIKI TUMEHUZUNISHWA SANA NA VIFO VYA ASKARI WETU, NI VEMA VYOMBO HUSIKA WAKAKUTAFUTA ULIPO ILI UTOE MAELEZO SAHIHI. HUO SIO UZALENDO.
 
hivi hili nilile Jeshi linabakwa na wanaboda:D..Kama wanatwangwa na vijana wa Congo,muziki wa alkebabs wataweza kweli.duh jwtz ni jeshi dhaifu na ovyo sana

Wewe ni mwenda wazima nini? tena unastahili ukapimwe akili yawezekana ukawa mgonjwa. Tanzania tunalia sana kuondokewa na hao Askari wetu wa JWTZ wakiwa wanalinda amani huko DRC. Lakini wewe unaongea upumbavu huo! Nadhani ni nwakati mwafaka watu wa jinsi hiyo wakawa wanatafutwa na kusaidia kutoa maelezo. Hakuna uhuru wa kujieleza usio kuwa na mpaka, vinginevyo itakuwa ni uwenda wazima. NIMESIKITIKA SANA KWA MANENO YA HUYO MPUMBAVU ASIYE NA UZAALENDO.
 
Ajabu ni kuwa anayetaja makabila kwenye uzi kama huu ni mtu anayejiita mtanzania. Wewe jamaa lazima utakuwa mrundi. Jivunie uraia wako kijana.

Mimi naweza kuthibitisha uwepo wangu hapa Bongo tangu mwaka 1890, wachache sana wanaweza, hata wewe huwezi!
 
Back
Top Bottom