Rais UDOM (CoEd) apinduliwa

Rais UDOM (CoEd) apinduliwa

Freightliner

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2013
Posts
720
Reaction score
528
Rais wa serikali ya wanafunzi chuo kikuu dodoma dogo John ambaye pia ni rais wa Tahliso apinduliwa rasmi leo kwa kushindwa kuwatetea wanafunzi anowangoza na mapinduzi hayo yamefanywa na wanafunzi na kumpa cheo hicho mh Mpandulume ambae kawatetea wanafunzi madai yao ya msingi mbele ya utawala mbovu wa UDOM
 
so funny! uchaguzi j3 afu leo anapinduliwa???
 
rais wa serikali ya wanafunzi udom amepinduliwa nyadhifa hiyo kwa kashafa ya ubadhilifu wa fedha za wanafunzi mapinduzi yamefanyika asubuhi hii na rais wa sasa ni Mpandalume s.j

Ikumbukwe kua rais aliepinduliwa ndio rais wa vyuo vikuu vyote Tanzania (TAHLISO)

ukusanyaji wa sign za wanafunzi unaendelea ili kubariki mapinduzi hayo
 
rais wa serikali ya wanafunzi udom amepinduliwa nyazifa hiyo kwa kashafa ya ubadhilifu wa fedha za wanafunzi mapinduzi yamefanyika asubuhi hii na raisi wa sasa ni Mpandalume s.j

Ikumbukwe kua rais aliepinduliwa ndio rais wa vyuo vikuu vyote Tanzania (TAHLISO)

ukusanyaji wa sign za wanafunzi unaendelea ili kubariki mapinduzi hayo

Mkuu kabla sijachangia naomba kujua kama na wewe ni Mmoja wa wanafunzi hapo UDOM
 
rais wa serikali ya wanafunzi udom amepinduliwa nyadhifa hiyo kwa kashafa ya ubadhilifu wa fedha za wanafunzi mapinduzi yamefanyika asubuhi hii na rais wa sasa ni Mpandalume s.j

Ikumbukwe kua rais aliepinduliwa ndio rais wa vyuo vikuu vyote Tanzania (TAHLISO)

ukusanyaji wa sign za wanafunzi unaendelea ili kubariki mapinduzi hayo

UDOM Kiswahili tu kuandika hujui? Nyazifa ndio kitu gani?

marekebisho yako yakowapi wewe wa TEKU au kusoma hujui
 
hahaha ila si umeelewa au na ww ni mmoja wa waliopinduliwa

Tatizo sio kuelewa, tatizo ni kubwa kuliko, nyinyi mlio katika vyuo vikuu mkiandika hivyo wanaosoma chekechea na msingi waandike vipi? Mimi miaka nimetoka huko dogo
 
Tatizo sio kuelewa, tatizo ni kubwa kuliko, nyinyi mlio katika vyuo vikuu mkiandika hivyo wanaosoma chekechea na msingi waandike vipi? Mimi miaka nimetoka huko dogo

tunatumia smartphone kutype so lazima accuracy inapungua au wewe hujawahi kikosea kutype
 
Rais amepinduliwa? Siku hizi rahisi tu; naye achungulie mbinu zilizomrejesha P. Nkurunzinza. Ila asilipize kisasi...
 
Back
Top Bottom