Rais tusaidie MRI ya Muhimbili MOI itengenezwe

Rais tusaidie MRI ya Muhimbili MOI itengenezwe

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
52,463
Reaction score
103,020
MRI ya Taasisi ya Tiba ya Mifupa Muhimbili (MOI) imeharibika, hakuna huduma, mtu katoka mikoani yupo wenye critical situation, anaambiwa MRI imeharibika.

Hali ndiyo hiyo.

=============

MOI WAKIRI NI KWELI, WATOA UFAFANUZI
Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt Respicious Boniface “Ni kweli, mashine zinaharibika kama ilivyo magari, ni vitu vya kawaida, ilipata hitilafu tangu Jumatano au Alhamisi ya wiki iliyopita.

Hivi mashine ni complicated, vifaa vyake havipo hapa, ikiharibika lazima uagize kutoka Ujerumani kwa kuwa mashine yetu ni ya Ujerumani.

“Mafundi wetu iliwachukua kama siku mbili kubaini tatizo ni nini, lakini tayari kifaa kimeshafika Nchini, kuna uwezekano wa kuanza kufanya kazi leo au kesho.

“Mashine inafanya kazi saa 24 kwanini isiharibike, huduma hazijasimama kwa kuwa wale wenye uhitaji wa huduma hiyo tunawaandikia wanakwenda Muhimbili kwa kuwa huko pia mashine ipo.”
 
MRI ya Muhimbili imeharibika. Hakuna huduma. Mtu katoka mikoani yupo wenye critical situation, anaambiwa MRI imeharibika.

Hali ndiyo hiyo.

Inakuwa imeharibika hata ukiwa tayari kutoa njuluku?

Ocean road ukisikia leo matibabu ya mionzi hamna machine ya radiation mbovu, wewe tupia rupia tu.

Chap chap machine inasikia na unapata tiba yako na machine hiyo hiyo.

Siyo siri kuwa kwenye zama za jiwe upuuzi huu ulitoweka.
 
Mama yetu Yuko Kwenye Mpira..mnisamehe lakini. Jiwe nilikuwa simpendi Kwa kukiuka Haki za binadamu, lakini haya aliyaweze sana.
 
Huenda wanakula dili na wenye hospitali binafsi ili wagonjwa wakapate huduma huko, bongolala kila jambo linawezekana....
 
MRI ya Muhimbili imeharibika. Hakuna huduma. Mtu katoka mikoani yupo wenye critical situation, anaambiwa MRI imeharibika.

Hali ndiyo hiyo.
Afu kuna mtu ananunua magoli ya simba na yanga.
kuna wengine wanaandaa matamasha kumpogeza Bi tozo, sisis kama wanachato tuluiozikwa na pamoja na hayati tunasikitshwa sana na mwenendo wa seriakli hii
 
Kila Mtanzania anakubali Magufuli ni Rais bora wa wakati wetu.

Hapo kwenye "kila mtu" na "bora wa wakati wetu" ndipo tunapopishana.

Yapo yake mazuri na hayo tunayakiri waziwazi. Ila yale mengine na yale yenye kuwahusisha washirika wake kIndaki ndaki hawa:

Fr_7Zw0WcAAavRN.jpeg

Kwa hakika ni big NO!

Kukubaliana kutokukubaliana si ndiyo ustaarabu wenyewe?
 
Hapo kwenye "kila mtu" na "bora wa wakati wetu" ndipo tunapopishana.

Yapo yake mazuri na hayo tunayakiri waziwazi. Ila yale mengine na yale yenye kuwahusisha washirika wake kIndaki ndaki hawa:

View attachment 2569952

Kwa hakika ni big NO!

Kukubaliana kutokukubaliana si ndiyo ustaarabu wenyewe?
Kwani Makonda na Sabaya wana shida gani? Au hizi political manipulations zimekuathiri pia!!?
 
Kwani Makonda na Sabaya wana shida gani? Au hizi political manipulations zimekuathiri pia!!?

Hao waliongoza magenge ya wahalifu. Wengine hata mahakama imewakuta na hatia. Wengine ilikuwa ni kama hivi:

FsYxt_2WYAAHbzp.jpeg

Hata kuchunguzwa baadhi yao walikuwa untouchable.
 
Back
Top Bottom