Rais Tunisia Apata Ushindi Wa Tsunami. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Tunisia Apata Ushindi Wa Tsunami.

Discussion in 'International Forum' started by Junius, Oct 26, 2009.

 1. Junius

  Junius JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2009
  Joined: Mar 11, 2009
  Messages: 3,183
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 133
  Kiongozi wa Tunisia Zine El Abidine Ben Ali amechaguliwa tena kwa kura nyingi kuingoza nchi hiyo ambapo amepata asilimia 90 ya kura.
  Takwimu rasmi zimeonesha asilimia 84 ya watu waliojiandikisha walipiga kura ya Urais na Wabunge.
  Rais huyo mteule atashika madaraka kwa kipindi cha miaka mitano mingine.
  Mkuu wa waangalizi wa Muungano wa Afrika, Benjamin Boungolous, ameuelezea uchaguzi huo wa siku ya Jumapili ulikuwa huru na wa haki, lakini hata hivyo upande wa upinzani umesema kulikuwa na kasoro.
  Wamesema hakukuwa na uhuru wa kuchagua wakati wa kupiga kura.
  Chama tawala cha Rais cha Constitutional Democratic Rally, pia kimezoa viti vingi vya Bunge.

  SOURCE:BBC SWAHILI SERVICE
   
 2. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2009
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Hii kubwa, 90%
   
 3. Eqlypz

  Eqlypz JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2009
  Joined: May 24, 2009
  Messages: 4,069
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Huyu mzee naye haachi madaraka tuu? type ya kina Museveni hii.
   
Loading...