Fanyeni utafiti kwa kuwauliza Wakandarasi wa Mkoa wa Mara na hasa Wilaya ya Tarime. Kunatakiwa Mameneja wote wa Wilaya waondolewe na kuletwa wengine wenye weledi.Mkuu mbona unazunguka mbuyu, sema tu ni mkoa gani ili vyama vya wakandarasi vifanye uchunguzi na kuwasiliana na TAKUKURU.
#Mama KajaRais Dkt Samia anayo habari ya madudu yoote kabisa, kilichopo sasa ni kufukuzwa wahusika na wengine watauawa kwa kupigwa risasi kama majambazi. Subiri moto wake ni mkali mno, waidhani Dkt Samia ni wa kuchezea, si mmeona moto wake leo katimua DC na bado. Homera nje etc subirini. Yaani uzuri lile jeshi la awamu ya 5 la wafuatiliaji lipo kazini 24/7 na lina kila info kwa sasa.
Tena huko halmashauri ndiyo balaa unakuta ma MT NA DT wameharibu mifumo ya ukusanyaji mapato na kutengeneza njia zao ni wengi mno watapukutishwa labda wakimbie nchi hahahaha, watalia na kujuta bora Dkt Magufuli aliyekuwa anakemea huyu Dkt Samia kimya kimya tu kibano na kuondoa kabisa wajinga wote. Ndiyo maana tunasema hata bandari acha ije maana Dkt Samia anayonia njema kabisa.
Kinachohitajika nikuepuka kuwa kero kwa wananchi. Tatizo hawa wamejiundia kamtandao kao. Ole ukikutwa!Kuna watu wana comment hapa utasema sio wao wanaotoa Rushwa kwa Matrafiki humo barabarani.
Hii nchi yote imejaa Rushwa
Anzia Rita
Nenda Polisi
Nenda Uhamiaji n.k
Sekta yote ya Ujenzi ina rushwa
Hivi ni nani akupitishie malipo ya milioni 500 alafu yeye abaki anasubiria Mshahara wake wenye makato mwisho wa mwezi wa shilingi milioni 2 ?
Nenda kwenye Chaguzi za Chama cha Mapinduzi, bila Rushwa hupati uongozi
Mwaka 2020 nilijidai kwenda kugombea Ubunge.
Hata kura 5 sikupata kwa kutotoa rushwa
Hii Nchi inahitaji reforms
Kulikoni mkuuNEST
Uzalendo unahitajika kuanzia Juu hadi huku Chini.Kinachohitajika nikuepuka kuwa kero kwa wananchi. Tatizo hawa wamejiundia kamtandao kao. Ole ukikutwa!
Mkuu meneja yupi kaomba rushwa?Mameneja wote wa TARURA Mkoa wa Mara wanatakiwa wafukuzwe kazi na hasa Meneja wa Wilaya ya Tarime. Ukiomba kazi na kukubaliwa upate mradi fulani lazima utoe 4 millioni na ukiishapewa kazi thamani ya kazi uliyopewa mfano Tshs. 200m lazima utoe 10% yaani lazima umpe 20m. Fanyeni utafiti kwa Wakandarasi wa Mkoa wa Mara.
Walioanzisha waliona mbali na mzigo mkubwa waliokuwa nao Tanroads hata wakiifumua kama mifumo ya rushwa bado ipo pale pale haisaidii..bora ungesuggest irudi idara ya ujenzi kama ilivokuwa awali lkn kwangu mm.naona hawakukosea kuanzisha hiyo mamlaka inafanya vizuri japo mapungufu madogo madogo yapoKwanini tarura isifumuliwe ibaki tanroads peke yake?