Rais, Tumia busara; vunja baraza la Katiba.

chachu

Senior Member
Joined
May 17, 2011
Posts
141
Reaction score
16
Nachukua nafasi hii kumsihii Raisi kuvunja baraza la Katiba. Kwa mtazamo Hamna katiba itayopatikana kwa jinsi lilivyotekwa Na misimamo ya vyama vya siasa Na mipasho badala ya hoja juu ya hoja. Gharama iliyotumika Na inayoendelea kutumika ni kubwa Na hamna taswira ya kupata katiba ya wananchi. Tunaoumia ni sisi walipa kodi watu wanaleta masihara.
Hayo ni mawazo yangu nawakilisha.
 
Na fedha itakayookolewa iende kwa wahanga wa mafuriko.......watanzania wana maafa, wengine wamekaa kuchezea pesa kwa mipasho na vijembe.....
 
Wala usiwe na haraka. Kama kuvunjika litajivunja lenyewe kwa sababu lazima wapitishe
kwa thuluthi/theluthi mbili toka kila upande hizo sura mbili walizoanza nazo. Wakivuka
hapo basi. Vinginevyo ukitaka kuchambua kwa kina shuleni wanasema critically, mfumo mzima
wa ukusanyaji maoni na kufikia hitimisho una utata mkubwa.
 
Nani avunje...kwanza anaona,raha kusikiliza mipasho hiyo
 
Asivunje, UKAWA wafunge virago vyao waondoke Dodoma wawaachie ccm watunge katiba ya chama chao.
 
Rais wetu hawezi kutumia busara kufanya maamuzi yeyote kwa sababu hakujaliwa kuwa na hizo busara....
 
Wala usiwe na haraka. Kama kuvunjika litajivunja lenyewe kwa sababu lazima wapitishe
kwa thuluthi/theluthi mbili toka kila upande hizo sura mbili walizoanza nazo. Wakivuka
hapo basi. Vinginevyo ukitaka kuchambua kwa kina shuleni wanasema critically, mfumo mzima
wa ukusanyaji maoni na kufikia hitimisho una utata mkubwa.

Mkuu linatakiwa livunjwe Mara moja . Kusubiri livunjike lenyewe ni kuendelea kutumia hela zetu.
 
Back
Top Bottom