Rais Trump: Rekodi zake si mchezo

Donald J Trump ni miongoni mwa binadamu wa kipekee sana kwa mtazamo wangu. Na kuna kitu anacho ambacho binadamu wengi hawana na kitu hicho ni moja wapo ya siri kubwa za mafanikio yake.

Mwaka huu Donald Trump kwa mujibu ya recent publication ya Forbes ameshuka kiutajiri toka nafasi ya 344 hadi nafasi 544 kidunia. Inasemekana kwa huu mwaka mmoja utajiri wake umepungua kwa at least $1biln.

Alafu hiyo namba tatu linahitaji marekebisho.
 
Ahsante
Nimerekebisha nashukuru.
Yes wana sema real estate bussiness kwa New York imeshuka so imebid wa punguze thamani yake.

Kitu gani different ambaco unezungumzia?
 
Ahsante
Nimerekebisha nashukuru.
Yes wana sema real estate bussiness kwa New York imeshuka so imebid wa punguze thamani yake.

Kitu gani different ambaco unezungumzia?

Yaah...ni kweli stock price ya real estate imeshuka na ndio sababu kuu lakini pia usisahau kwenye uchaguzi hasa hatua za awali Trump alitumia sana pesa zake.

Unajua mkuu katika maisha hili uishi vizuri ni lazima uwe huru kwanzia nafasi, na Uhuru wa nafsi ni pamoja na kutokuwa muoga kwa mamna yoyote ile yaani uwe tayari kufanya chochote kile haijalishi watu watakuonaje. Sasa Mara nyingi watu wenye sifa hizi huwa wanachukuliwa kama wana insanity. Muangalie hata Trump hii sifa anayo.

Watajiri wengi hawako tayari kufilisika wakiogopa jamii itawaonaje na kuna vitu Hawawezi kufanya....sasa Trump hayuko hivyo na ndio maana alifilisika na akarudi.
 
Back
Top Bottom