makufuli
JF-Expert Member
- Jun 18, 2016
- 425
- 253
Wapo na team eddo,ulipo tupoTeam Hillary wapiiii![]()
Ligi ya mchangani
Wapo na team eddo,ulipo tupoTeam Hillary wapiiii![]()
Ulikuwa una angalia apprentice!?Bado naendelea kufurahia kumuona kwa kweli, sababu ni tangu enzi za "You're Fired" ilivyokuwa hainipiti.
Wapo busy wanahesabu na kujifariji na kura za wahamiaji haramu.Team Hillary wapiiii![]()
Hii ni muda mfupi tu uliopita.
Anaelekea Philadelphia [ambapo tayari Air Force One ishatua].
Yupo huko Philly kuhutubia mkutano wa GOP.
Ndani ya Air Force One
Ulikuwa una angalia apprentice!?
Hahaha nilikuwa naipenda sana