RUCCI
JF-Expert Member
- Oct 6, 2011
- 1,701
- 1,714
Shein amesema mgogoro wa kisiasa ulikuwa utatuliwe kwa njia za mazungumzo lakini kiongozi wa CUF Maalim Seif Sharif Hamad aliyeomba mazungumzo ya maridhiano kabla hayajamaliza yeye alienda kutoa siri za vikao kwa waandishi wa habari Dar es saalam na baadae kuandika barua ya kujitoa katika mazungumzo hayo.
Chanzo: Mazrui Media