My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
Tangu lini Mataga mkawa na akili?Pumba tupu umemwaga hapa
Wewe nahisi bado hujajitegemea kimaisha, kila kitu huwa unaletewa tuHizo bei zlikua za nchi hii hii niishiyo au una paste ktoka kwa majirani
Kuna hoja yoyote unayoweza kujibu hapa zaidi ya kuonyesha upumbavu wako hapa?Timu gaidi mnahangaika sana
Ukweli mtupu !Rais Samia, wala usihofu, hatuoni wapi ambako viatu vya Hayati Magufuli vimekupwaya, unapodai eti havijakufaa hivyo viatu wakati tangu Mungu alipomtwaa Magufuli kila kitu kipo vile vile ndo kwanza unaboresha.
Wakati Magufuli akiwa madarakani,Sukari kg moja ilikuwa Tsh3,000,na haijashuka hadi sasa.
Nyama ilikuwa Tsh 7,000 na haijashuka hadi sasa.
Kipande cha sabuni kilikuwa Tsh 400, sasa kimepanda hadi Tsh 500.
Mafuta ya kula yalikuwa Tsh 5000 kwa lita sasa hivi yamepanda hadi Tsh 7000 kwa lita.
Demokrasia haikuwepo,na hata sasa haipo, Mbowe kudai katiba mpya,ikawa nongwa mkampa kesi ya Ugaidi.
Uhuru wa Habari haukuwepo na hata sasa haupo.
Magufuli alinunua ndege ambazo hazina Tija kwa Taifa,na wewe umeendelea kununua ndege,ni kichekesho kweli,tangu lini Serikali ikafanya Biashara?
Yaani viatu vya Magufuli vimekufaa hadi kupitiliza,ndo kwanza umezidi kuyafanya maisha ya Watanzania kuwa magumu kwa kuleta Tozo za miamala ya simu.
Wapi ambako viatu vya Hayati Magufuli havijakufaa?
Mabadiliko ya Nchi ni makubwa siyo kama unachoandika kwa kejeli hapa. Viko vingine hutoweza kuviona overnight ila vitakuja kama multiplier baadaye.Rais Samia, wala usihofu, hatuoni wapi ambako viatu vya Hayati Magufuli vimekupwaya, unapodai eti havijakufaa hivyo viatu wakati tangu Mungu alipomtwaa Magufuli kila kitu kipo vile vile ndo kwanza unaboresha.
Wakati Magufuli akiwa madarakani,Sukari kg moja ilikuwa Tsh3,000,na haijashuka hadi sasa.
Nyama ilikuwa Tsh 7,000 na haijashuka hadi sasa.
Kipande cha sabuni kilikuwa Tsh 400, sasa kimepanda hadi Tsh 500.
Mafuta ya kula yalikuwa Tsh 5000 kwa lita sasa hivi yamepanda hadi Tsh 7000 kwa lita.
Demokrasia haikuwepo,na hata sasa haipo, Mbowe kudai katiba mpya,ikawa nongwa mkampa kesi ya Ugaidi.
Uhuru wa Habari haukuwepo na hata sasa haupo.
Magufuli alinunua ndege ambazo hazina Tija kwa Taifa,na wewe umeendelea kununua ndege,ni kichekesho kweli,tangu lini Serikali ikafanya Biashara?
Yaani viatu vya Magufuli vimekufaa hadi kupitiliza,ndo kwanza umezidi kuyafanya maisha ya Watanzania kuwa magumu kwa kuleta Tozo za miamala ya simu.
Wapi ambako viatu vya Hayati Magufuli havijakufaa?
Kwa mataahira ni pumba kwa wenye akili timamu ni madiniPumba tupu umemwaga hapa
Kwani huko CCM kuna mwenye akili timamu hata mmoja? Yamejaa mapooza tupuKuna hoja yoyote unayoweza kujibu hapa zaidi ya kuonyesha upumbavu wako hapa?
mbona nyama ilikuwa 5000 na sasa ni 9000 kwa kiloBinafsi sikutegemea miujiza yoyote kutoka kwa mtemi Hangaya! System ile ile, watu wale wale, chama kile kile, mindsets zile zile sidhani kama kuna kipya wanaweza kufanya.
Kama unadhani iko siku utamuona Samia anakula hindi hadharani au kununua jogoo unapoteza muda.Rais Samia, wala usihofu, hatuoni wapi ambako viatu vya Hayati Magufuli vimekupwaya, unapodai eti havijakufaa hivyo viatu wakati tangu Mungu alipomtwaa Magufuli kila kitu kipo vile vile ndo kwanza unaboresha.