Rais Samia uondoke ikifika mwaka 2025

Naunga mkono hoja vinginevyo kuna hatari ya kaburi la mtu kucharazwa viboko na wajukuu zetu huko mbeleni
 
Ma shaa Allah, tuwachieni chaguo la Allah. msilisakame.

Tumempenda wenyewe. Tukutane kwenye masanduku ya kura.
 
Hii njama yenu ya kutaka kumuangusha Mama tunaijua ila kuweni makini, hivi imagine ingekua mama yako anashambuliwa hivi ungejiskiaje.
 
Hizo hasira ukikutana nae live si utampiga kichwa
 
Ila Samia katuweza jmn kauza huku kwetu ila huko kwao hajawaonyesha waarabu.Akihutubia utasema rais wa Tz kumbe ni wa Znzbar
 
Atatoboa endapo tu tume itakuwa hii hii ya sasa.
 
 

Attachments

  • IMG_1035.MP4
    13.1 MB
Kuridhisha mama watoto mji baada ya kufiwa na baba watoto hiyo laana haitatuacha bure
 
Muungano😳
 

Attachments

  • 1E69A77A-FCFE-40CF-884D-62E6C41F6EB5.jpeg
    55.6 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…