Rais Samia uondoke ikifika mwaka 2025

Hakuna wa kumtoa Samia Suluhu Hassan ila Mungu Au yeye mwenyewe aamue. Wajinga wote kama hamtaki Burundi sio mbaliii
 
😀😀😀😂😂😂, haupigi mwingi tena?. Mbona mmemchoka bibi yenu mapema hivyo.
 
Huyu tunae, Labda mambo yaharibike sana

By JK.
 
Ukitaka watu warudishe imani kwako ni kuachana na hii mikataba na rudisha nchi kwenye misingi yake ya kulinda Mali zetu.
[emoji419][emoji375][emoji1545]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani ni adabu wao kutufokea sisi? Ni adabu wao kutuibia sisi? Ni adabu wao kisaini mikataba kimangungomangungo? Ukijiheshimu na kuheshimu utaheshimiwa.
una ushahidi umeibiwa au una ongea mambo kwa hisia?
 
Hoja ipo rahisi sana na ipo moja kwa moja nimependa hata mtoto wa darasa la kwanza angeweza kusema: Samia hatujali na hafai kabisa kuwa Rais wa nchi yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…