Rais Samia uondoke ikifika mwaka 2025

Mimi natamani ajiuzulu hata leo
 
Kisirani Tuu!!ndio hatukitaki humu ndani,,Sijui tumeelewana Dogoo??
 
Unataka nini sasa

SERIKALI KUTOA BILIONI 48 KWA MIKOA 16 KWAAJILI YA KUJENGA SHULE MPYA

Serikali ya awamu ya sita chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. SAMIA SULUHU HASSAN imetoa Tsh. Bilioni 48 kwenye Mikoa 16 kwaajili ya kujenga shule mpya za wasicha za sayansi kupitia mradi wa SEQUIP ambapo kila mkoa utapata Tsh. Bilioni 3.

Huyo Mama anaupiga Mwingi. Ebu muachaneni kwanza.
 
Kwa sababu umeandika kama unaongea na hawara ya baba yako wacha tujibu hivyo hivyo. Bandari zenu na nani? wajomba zako. Mbwa kuwa na heshima na kiongozi wanchi. Una hoja subiri 2025 piga kura yako. Nyoko nyoko bandari zetu... ulizitoa wapi. Tafuta pesa jenga mali zako mwehu wewe.
 
Hapa 2030 ndio tutajadili nani awe rais hakuna wa kushindana na samia ndani ya CCM wala nje ya CCM hayupo : Jakaya Mrisho Kikwete

Ukumbi wa jakaya kikwete Dodoma
 
MKUU ACHA JAZBA...
MUNGU AMLINDE...
Atarekebisha hili mapema lieleweke.
Aonyeshe nia ya kusikiliza na kurekebisha, mkuu wa nchi kutamka ametia pamba masikioni ni matusi kwa wananchi
 
Kwanini asiondoke sasa?tunataka aharibu zaidi?
 
HATOGOMBEA,

Adhibitiwe uharibifu usizidi kuanzia sasa kuelekea huko.
 
Yes, CCM hebu tusaidieni kumwondoa huyu mtu wenu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…