My Son drink water
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 4,930
- 13,335
Mkuu,hebu soma kwa makini Uzi wanguMama anafanya kazi nzuri Sana, huu ulioweka hapa ni uchochezi.
Chapeni kazi achana na propaganda
#nipo na mama# kazi iendelee#
Mama leo ametudisappoint werevu, ameitaja Kenya kama anaitaja Marekani, ptuuuMama anafanya kazi nzuri Sana, huu ulioweka hapa ni uchochezi.
Chapeni kazi achana na propaganda
#nipo na mama# kazi iendelee#
Mkuu, kenya ni Hatari sana, yaani hatutakubali eti waje washike vitalu vya madini, yaani hawa tukiwaruhusu Watanzania watabaki maskini wa kutupwaNimeandika Uzi humu ndani watu wakatoka mapovu.
Yaani Matatizo waliyotaka wenyewe waje kusaidiwa huku, nilishangaa Rais aliposema Tanzania ina Ardhi anawakaribisha Wakenya, Akanichosha aliposema Tanzania ina madini wakenya waje, utadhani watu hatuijui Kenya.
Hivi Wakenya wangapi watakuja Tanzania kuwekeza Madini Tanzania tusiwaite wachimbaji wadogowadogo,
Mkuu, "not to that extent",msemo wa Hayati...Kubali kuliwa ili ule kama vile Kaaba anavyonunuliwa kwa elf 20 yeye kesho akapata mlo.
Wewe lala ndani Mimi nitoke tuone nani atarudi na chochote jion
Business is all about risk.
Mzee Marekani ni Richest Country Duniani lakini hawatakagi ujinga na ushirika wa upande mmoja.Kubali kuliwa ili ule kama vile Kaaba anavyonunuliwa kwa elf 20 yeye kesho akapata mlo.
Wewe lala ndani Mimi nitoke tuone nani atarudi na chochote jion
Business is all about risk.
Iko hivi kwa taarifa yako Wasukuma ndio wanaogoza kuwekeza kwenye migodi ya Kenya au unafikiri Kenya hakuna migodi?Nimeandika Uzi humu ndani watu wakatoka mapovu.
Yaani Matatizo waliyotaka wenyewe waje kusaidiwa huku, nilishangaa Rais aliposema Tanzania ina Ardhi anawakaribisha Wakenya, Akanichosha aliposema Tanzania ina madini wakenya waje, utadhani watu hatuijui Kenya.
Hivi Wakenya wangapi watakuja Tanzania kuwekeza Madini Tanzania tusiwaite wachimbaji wadogowadogo,
Nina mashaka na Uwezo wa kuamua wa Rais wangu, au kuna kundi linalonunulika linamshauri, yaani kikubwa ambacho Kenya itaifanyia Tanzania ni kuruhusu Mahindi, alafu sisi tutaruhusu Masuala ya Anga, Utalii.Mkuu, kenya ni Hatari sana, yaani hatutakubali eti waje washike vitalu vya madini, yaani hawa tukiwaruhusu Watanzania watabaki maskini wa kutupwa
Hao ni wachimbaji wadogo wadogo...Iko hivi kwa taarifa yako Wasukuma ndio wanaogoza kuwekeza kwenye migodi ya Kenya au unafikiri Kenya hakuna migodi?
Kuanzia Migori hapo kwenda mpaka kisumu kuna migodi kibao na wakazi wa huko ni wasukuma na wajaluo.
Sasa wewe sijui unataka wawekezaji kutoka wapi ndio waje wawekeze na mchanga wabebe
Hii nchi watu tunashindwa kujua kitu tunachokitaka..
Kwenye swala la uwekezaji na kukuza uchumi niko na mama.
Ila tutagombana kwenye democracy na ufisadi na katiba mpya.
Marekani yenyewe unayoisema ndio inaongoza kuwa na wafanyakazi wa kigeni kuliko nchi zote dunianiMzee Marekani ni Richest Country Duniani lakini hawatakagi ujinga na ushirika wa upande mmoja.
Uingereza ni Taifa kubwa kuliko sisi na Mataifa yote Africa ila ulijitoa EU, muwege mnafikiria miaka 10 hadi 20
Marekani haina wafanyakazi wa Kigeni wa machinga, inachukua cream kutoka kwenye mataifa mengine.Matekani yenyewe unayoisema ndio inaongoza kuwa na wafanyakazi wa kigeni kuliko nchi zote duniani
Ndio nchi inayoongoza kunanua bidhaa toka China kuliko nchi zote za America.
We jamaa vipi wewe uwekezaji gani unautaka?
Tatizo ni TISSNina mashaka na Uwezo wa kuamua wa Rais wangu, au kuna kundi linalonunulika linamshauri, yaani kikubwa ambacho Kenya itaifanyia Tanzania ni kuruhusu Mahindi, alafu sisi tutaruhusu Masuala ya Anga, Utalii.
Wao Wanazuia Shirika letu la ndege kufanya Kazi,ila lao wanataka tulihusu, Eti Mtalii afike Kenya ndio aje Tanzania, Kwa nini asianze Tanzania
Mama alipaswa amuache Kabudi kwenye wizara ya mambo ya nje aisee,
nikwambie tu, mimi Pia ni diaspora, Najua na naona humuimu wa Sisi Kama Taifa kuwa na Protectionism na Kujenga uwezo wa ndani.Matekani yenyewe unayoisema ndio inaongoza kuwa na wafanyakazi wa kigeni kuliko nchi zote duniani
Ndio nchi inayoongoza kunanua bidhaa toka China kuliko nchi zote za America.
We jamaa vipi wewe uwekezaji gani unautaka?