Rais Samia unatukosea sana wanachi wa Kimara, Mbezi, Morocco kwenye suala la Mwendokasi

LICHADI

JF-Expert Member
Feb 4, 2015
4,151
11,200
Mama Ndani ya uongozi umejitahidi kufanya m engi mazuri lakini kwa hili la usafiri wa mwendokasi mama umekwama kwa kiasi iikubwa tena sana.

Katika uongozi wako wa miaka 3 hadi sasa Mwendokasi una hali mbaya, cha kushangaza mama ndani ya miaka yako 3 umenunua mamia ya ma v8 new model za kumwaga kwa ajili ya kiongozi mmoja mmoja ila sehem yenye wanachi wengi kama hauoni.

V8 la mwaka 2023 halipishani thamani sana na basi moja la kichina la mwendokasi ila umekuwa Tayari kununua Magari ya kifahari kwa ajali ya kiongozi mmoja mmoja ila kuwanunulia wananchi mabasi wasafiri vizuri kwako imekuwa kama huoni.

Ndani ya miaka 3 Shirika halina Gari mpya ila juzi umetuzawadia CEO mpya wa mwendokasi ila CEO mpya kaingia kazini bila hata gari moja , Sehemu yenye shida ya magari umetupa CEO, Ila kila idara unamwaga magari mapya ya kifahari kwa ajili ya kiongozi mmoja mmoja V8 pesa ya kununua ipo ila basi mpya pesa hakuna.

Mateso tunayopata wananchi ni makubwa sana, kama hamuwezi kununua gari mpya mama turudishieni dalala dala.
 
Mwendo kasi walipaswa wawape kampuni binafsi za wazawa ziendeshe.

Serikali iachane na kuendesha mwendo kasi.

Hapo wampe Abood ama shabiby aweke mabus yeye.

Ama wakishindwa wampe Tilisho mfalme wa customer service na makonda wake warembo wa tik tok
Sijui kwanini huduma zinazosimamiwa na Government zinakua mbovu sana wewe angalia huduma za Afya, Elimu,Umeme na Maji yaani ni sheeda tupu.....
 
Mama Ndani ya uongozi umejitahidi kufanya m engi mazuri lakini kwa hili la usafiri wa mwendokasi mama umekwama kwa kiasi iikubwa tena sana.

Katika uongozi wako wa miaka 3 hadi sasa Mwendokasi una hali mbaya, cha kushangaza mama ndani ya miaka yako 3 umenunua mamia ya ma v8 new model za kumwaga kwa ajili ya kiongozi mmoja mmoja ila sehem yenye wanachi wengi kama hauoni.

V8 la mwaka 2023 halipishani thamani sana na basi moja la kichina la mwendokasi ila umekuwa Tayari kununua Magari ya kifahari kwa ajali ya kiongozi mmoja mmoja ila kuwanunulia wananchi mabasi wasafiri vizuri kwako imekuwa kama huoni.

Ndani ya miaka 3 Shirika halina Gari mpya ila juzi umetuzawadia CEO mpya wa mwendokasi ila CEO mpya kaingia kazini bila hata gari moja , Sehemu yenye shida ya magari umetupa CEO, Ila kila idara unamwaga magari mapya ya kifahari kwa ajili ya kiongozi mmoja mmoja V8 pesa ya kununua ipo ila basi mpya pesa hakuna.

Mateso tunayopata wananchi ni makubwa sana, kama hamuwezi kununua gari mpya mama turudishieni dalala dala.
Huyu wala Hana muda na wananchi. Andiko zuri lakini hakuna kiongozi hapa ni bomu Tena la kienyeji
 
Back
Top Bottom