Rais Samia "umetuangusha sisi Wana wake"

Superbug

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2018
Posts
15,825
Reaction score
40,347
Haya maneno yanasemwa na mwanamke mmoja ambae ni rafiki mkubwa sana wa mke wangu tukiwa sebuleni mama huyo pia ni mtu mkubwa ngazi ya halmashauri. Kwakweli haikutegemewa Samia amfunike magufuli kwa maovu. Sasa tusubiri je nayeye ataiba kura amfunike magufuli? Mama unasalitiwa.
 
Huwa nashangaa watu wanaodhani yeye ni mwema eti anasalitiwa! Magufuli ndo alikuwa hasalitiwi? Acheni kumtetea hayo yanayofanyika ni maagizo yake. Mbona hatoki hadharani kukemea? Sura sio roho.
 
Haya maneno yanasemwa na mwanamke mmoja ambae ni rafiki mkubwa sana wa mke wangu tukiwa sebuleni mama huyo pia ni mtu mkubwa ngazi ya halmashauri. Kwakweli haikutegemewa Samia amfunike magufuli kwa maovu. Sasa tusubiri je nayeye ataiba kura amfunike magufuli? Mama unasalitiwa.
Yaani mama wakati anaingia alionyesha matumaini kidogo, lakini muda unavyozidi kwenda mambo yanazidi kuharibika zaidi...
 
Amuibie kura nani? Hao kina Dovutwa? Strong opponent ashampa kesi ya uhaini
 
Haya maneno yanasemwa na mwanamke mmoja ambae ni rafiki mkubwa sana wa mke wangu tukiwa sebuleni mama huyo pia ni mtu mkubwa ngazi ya halmashauri. Kwakweli haikutegemewa Samia amfunike magufuli kwa maovu. Sasa tusubiri je nayeye ataiba kura amfunike magufuli? Mama unasalitiwa.
Akiiba kura ambazo ni lazima aibe atashughulikiwa kwa haraka sana!
 
Haya maneno yanasemwa na mwanamke mmoja ambae ni rafiki mkubwa sana wa mke wangu tukiwa sebuleni mama huyo pia ni mtu mkubwa ngazi ya halmashauri. Kwakweli haikutegemewa Samia amfunike magufuli kwa maovu. Sasa tusubiri je nayeye ataiba kura amfunike magufuli? Mama unasalitiwa.

"Wana wake", wana wake, unamaana watoto wake.​

" Wanawake", mama na dada zetu.
Hivyo "Wanawake" ingependeza zaidi.
 
Back
Top Bottom