Rais Samia tunaomba umtumbue Mkuu wa mkoa wa Tabora hatoshi pale

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
15,774
Reaction score
35,994
Bwana Paul Chacha ni mkuu wa mkoa ambaye anamchafua mheshimiwa Rais Samia makusudi

Analeta ubabe wake wa Kikurya kwenye mambo ya football

Alitukana Yanga wana kiherehere na wanahonga wachezaji, ambazo hizo ni Tuhuma chafu sana alitaka ajibiwe vipi?
Yaani aje kishabiki halafu kumjibu Yanga waogope cheo chake au v8 ya serikali, hiyo ni never

Viongozi kuwa na upande sio dhambi, mbona wapo na wanaheshika kuwa wapo aidha Simba au Yanga

Waziri Mkuu Casim Majaliwa huyu anajulikana ni Simba na Kwa mamlaka yake angeweza kuwa anawaweka kizuizini viongozi wa Yanga ila yupo vizuri, anapata heshima ya mashabiki wa Simba na Yanga na hajawahi kutoa kauli za kukejeli Yanga, na pia ni mlezi wa Namungo FC

Speaker wa Bunge Tulia Akson ni kiongozi mkuu wa mhimili wa Bunge lakini hakuwahi kuongelea vibaya Yanga japo ni Shabiki wa Simba kindakindaki, Huwa anawaalika Yanga bungeni, Kwa mamlaka yake angezuia Yanga wasifike hata Bungeni

Mh Ali Zungu naibu speaker huyu ni mbunge wa Ilala, zinapotoka Simba na Yanga zipo kwenye Jimbo lake ila hajawahi kutoa kauli ya kifedhuli dhidi ya Yanga na anaheshimika vizuri tu

Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu Huyu ni Yanga lakini hajawahi kutoa kauli ya kipumbavu au maudhi Kwa Simba, kipindi chake Simba alitawala soccer la TANZANIA lakini hakuleta hujuma na kuibeba Yanga

Mwana FA, huyu ni naibu waziri wa michezo na m Wanachama wa Simba pamoja na yote hajawahi kutoa kauli ya kipumbavu dhidi ya Yanga na anaheshimika vyema

Albert Chalamila Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam huyu ni Yanga na timu zote zinatokea mkoa wake haijawahi kutoa kauli ya kipumbavu Kwa Simba, na wanasimba wanamheshimunpamoja na kujua kama yeye ni Yanga

Jerson Musigwa, karibu wa Wizara ya Michezo huyu ni Yanga ila anaheshimika na Simba Kwa kuwa ana busara

Tabora sio timu pekee ambayo Yanga amecheza
Yanga amecheza na Namungo Lindi,
Yanga amecheza na Fountain Gate Manyara
Yanga amecheza dhidi Singida Black Star Singada
Yanga amecheza na Coast union Tanga
Yanga amecheza na Kagere sugar Kagera
Yanga amechezana prison Mbeya
Yanga mecheza na Pamba Mwanza
Yanga amecheza na Mashujaa Kigoma

Mbona huku kote watendaji wa Yanga hawakugombana na wateule wa mheshimiwa Rais

Rais Samia tengua Chacha Tabora naamini una Stock ya watendaji wengine wenye hekima na busara
 
Utopolo mnaendeleaje huko kwenye mashindano ya Umiseta ngazi ya wilaya mnayoshiriki huko Tabora?
FB_IMG_1743578318957.jpg
 
Aendelee naye huyo RC ila hii CCM yangu ya Samia itakiona kwenye sanduku la Kura mwaka huu 2025.

Yako mambo mengi sana ya hovyo, nitakuja kuanzisha thread nikipata muda.
 
Bwana Paul Chacha ni mkuu wa mkoa ambaye anamchafua mheshimiwa Rais Samia makusudi

Analeta ubabe wake wa Kikurya kwenye mambo ya football

Alitukana Yanga wana kiherehere na wanahonga wachezaji, ambazo hizo ni Tuhuma chafu sana alitaka ajibiwe vipi?
Yaani aje kishabiki halafu kumjibu Yanga waogope cheo chake au v8 ya serikali, hiyo ni never

Viongozi kuwa na upande sio dhambi, mbona wapo na wanaheshika kuwa wapo aidha Simba au Yanga

Waziri Mkuu Casim Majaliwa huyu anajulikana ni Simba na Kwa mamlaka yake angeweza kuwa anawaweka kizuizini viongozi wa Yanga ila yupo vizuri, anapata heshima ya mashabiki wa Simba na Yanga na hajawahi kutoa kauli za kukejeli Yanga, na pia ni mlezi wa Namungo FC

Speaker wa Bunge Tulia Akson ni kiongozi mkuu wa mhimili wa Bunge lakini hakuwahi kuongelea vibaya Yanga japo ni Shabiki wa Simba kindakindaki, Huwa anawaalika Yanga bungeni, Kwa mamlaka yake angezuia Yanga wasifike hata Bungeni

Mh Ali Zungu naibu speaker huyu ni mbunge wa Ilala, zinapotoka Simba na Yanga zipo kwenye Jimbo lake ila hajawahi kutoa kauli ya kifedhuli dhidi ya Yanga na anaheshimika vizuri tu

Jakaya Kikwete, Rais Mstaafu Huyu ni Yanga lakini hajawahi kutoa kauli ya kipumbavu au maudhi Kwa Simba, kipindi chake Simba alitawala soccer la TANZANIA lakini hakuleta hujuma na kuibeba Yanga

Mwana FA, huyu ni naibu waziri wa michezo na m Wanachama wa Simba pamoja na yote hajawahi kutoa kauli ya kipumbavu dhidi ya Yanga na anaheshimika vyema

Albert Chalamila Mkuu wa mkoa wa Dar es salaam huyu ni Yanga na timu zote zinatokea mkoa wake haijawahi kutoa kauli ya kipumbavu Kwa Simba, na wanasimba wanamheshimunpamoja na kujua kama yeye ni Yanga

Jerson Musigwa, karibu wa Wizara ya Michezo huyu ni Yanga ila anaheshimika na Simba Kwa kuwa ana busara

Tabora sio timu pekee ambayo Yanga amecheza
Yanga amecheza na Namungo Lindi,
Yanga amecheza na Fountain Gate Manyara
Yanga amecheza dhidi Singida Black Star Singada
Yanga amecheza na Coast union Tanga
Yanga amecheza na Kagere sugar Kagera
Yanga amechezana prison Mbeya
Yanga mecheza na Pamba Mwanza
Yanga amecheza na Mashujaa Kigoma

Mbona huku kote watendaji wa Yanga hawakugombana na wateule wa mheshimiwa Rais

Rais Samia tengua Chacha Tabora naamini una Stock ya watendaji wengine wenye hekima na busara
Yeyote mwenye connection ya maokoto popote pale duniani hawezi kujipinda kuandika huu upuuzi uliouandika....

Ni wazi huna kazi ya kufanya zaidi ya kuvizia milo kwa shemeji....

Tafuta hela uheshimike mjini
 
Ila mkuu wa mkoa wa mwnza yeye anawatosha si ndio 😃😃😃
 
MZEE INAONEKANA UNA ROHO MBAYA SANA, SIPENDI KABISA WATU WACHONGANISHI NA WENYE WIVU.

Heri walio wapatanishi maana hao wataitwa wana wa Mungu.
Mathayo 5:9.
 
Huyu mkuu wa mkoa kikombe kimejaa ,Naona sasa ni muda wakupisha nafasi . Aliogombana nao ni wengi . Miongoni ni Hawa

1. Afisa wa manunuzi( PPRA) . Huyu yeye walichambana Sana akiwa kalewa , nilijua alifanya kosa ila nilihisi alikuwa na kinyongo Cha muda mrefu.
2. Mkuu wa chuo Fulani pale nzega
3. Kapuya foundation.
4. Ali kamwe ,msemaji wa Yanga
5. Maafisa waandamizi kibao .
 
Yeyote mwenye connection ya maokoto popote pale duniani hawezi kujipinda kuandika huu upuuzi uliouandika....

Ni wazi huna kazi ya kufanya zaidi ya kuvizia milo kwa shemeji....

Tafuta hela uheshimike mjini
Nina hela nyingi
Njoo shambani kwangu Ngara uwe kibarua
 
Back
Top Bottom