Rais Samia tukumbuke watumishi wa NIDA

Ujuha wenu mwingine ulikuwa ni kushindwa kucopy majina sahihi toka kwenye form, mnajiandikia tu spelling mnazohisi zinafaa nyie ili mrekebishe kwa malipo. [emoji3525]

Graduation, Islamabad Y'ALL(In Senga's [emoji2788])
Sorry for incovinience boss!.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama mlikua wengi hivyo na upatikanaji wa kitambulisho ulivyokua mgumu, endeleeni kukaa nje

Mimi mpaka leo nikifata kile kitambulisho napigwa kalenda
 
Hapohapo kama ulikuwepo, chang'ombe walikua wakijiona wao miungu kabisa. Kwenye kupanga foleni walikua wanafoka hao sijawahi kuona, alafu wanafokea wengine ni watu wazima sana sawa na baba na mama zao.
Hao waliobakizwa ndio wenye sifa hizo coz kuna wakubwa wanawalinda!
Sisi from peasant families ndio tuliopunguzwa wakuu[emoji24]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sisi hatukua hivyo mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu 2015 Mpaka leo nateseka na Nida,walikosea spelling moja ya jina langu.Nimelipa elfu 20 kufanya marekebisho tangu mwaka jana mwezi 8 mpaka leo hakuna marekebisho.Nikienda ofisini naambulia majibu ya dharau na kejeli.
Sina hamu na Nida
 
Duh!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tangu 2015 Mpaka leo nateseka na Nida,walikosea spelling moja ya jina langu.Nimelipa elfu 20 kufanya marekebisho tangu mwaka jana mwezi 8 mpaka leo hakuna marekebisho.Nikienda ofisini naambulia majibu ya dharau na kejeli.
Sina hamu na Nida
Tuombee turudi nitaanza kukurekebishia wewe free of charge coz hicho ndicho kitengo changu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hamna kitu mnafanya nyie watu, since 2017 I've no original ID, Online Copy imenisaidia vinginevyo ningekwama
NIDA na UHAMIAJI ndo watu ambao huwa siwaelewi nchi hii
Hizo online copy wanatoa baada ya muda gani?

Sent from my TECNO KA7O using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…