Rais Samia tufufulie mjadala wa EPA

Rais Samia tufufulie mjadala wa EPA

Lusungo

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
29,491
Reaction score
42,568
Kwako mheshimiwa sana Rais Samia Suluhu Hassan tunakuomba sasa ufufue ule mjadala wa nchi kujiunga kwa mkataba wa EPA.

Binafsi naona hakukua na mjadala mpana na wenye tija juu ya nchi kuridhia au kutoridhia zaidi sana naona tuliongozwa na ushabiki kuliko facts.

Ni vizuri sasa tufanye review ya kile tuliamua.
 
Back
Top Bottom