Rais Samia, teua mmoja Kati ya hawa vijana kuwa DG Bandari, utanishukuru sana

Ni wazi bandari kuna shida kwa muda mrefu sana, na hili limekua tatizo kwa viongozi wetu kwa kuwa yanayoendelea huko yanawanyima sana usingizi.

Tatizo kubwa lipo kwa wanaoteuliwa kuongoza bandari. Haapo ndio tatizo lilipo, bado hatujapata watu makini kabisa. Ila nina amini ukimteua mmoja Kati ya hawa kuwa mkurugenzi bandari, ndani ya mwaka mmoja utayaona mabadiliko ambayo hujawahi kuyaona.

1) Nickson Simon (Nikki wa Pili)
- Huyu kwa Sasa ni mkuu wa wilaya kisarawe, ni msomi, mbunifu, mchapakazi na mwerevu sana. Ana akili kubwa na naamini ndani ya muda mfupi Kuna mageuzi makubwa sana yatatokea bandarini. Huyu ni mmoja wa vijana ambae amejitolea kwa ajili ya kupigania na kuleta Maendeleo ya taifa lake. Mpe nafasi, utanishukuru baadae

2) Kenan Kihongosi
- Huyu ni katibu mkuu uvccm taifa, kabla alikua ni mkuu wa wilaya. Ulimuamini na kumpa majukumu makubwa ya kuongoza taasisi kubwa Kama uvccm. Huyu Kama walivyo viongozi wengine ana mapungufu yake, ila ukimuweka sawa kidogo atafanya maajabu makubwa Sana

3) Humphrey Polepole
- Huyu ni balozi wetu nchini Malawi, ana uwezo mkubwa sana wa kimageuzi kwenye taasisi yoyote ile. Kama ilivyo kwa viongozi wengine, ana mapungufu yake ila ukimuweka sawa kidogo tu ana uwezo mkubwa ambao utaleta mabadiliko ambayo hayajawahi kutokea pale bandarini.

Hao vijana watatu ni hazina kubwa kwa taifa hili, mmoja Kati ya hao hasa huyo wa kwanza Nikki. Ukiwapa nafasi ya kuongoza sehemu kama bandari tutashuhudia mabadiliko makubwa ambayo hatutakujaa kuyasahau. Ila hii kuendelea kuteua watu wa hapohapo hatutafika kabisa, yatarudi yaleyale

Mheshimiwa mtukufu Raisi naomba usikilize haya maoni yetu(ya wengi). Wakati ni sasa wa mabadiliko bandarini. Tumechoka kuwa shamba la bibi.

#kazi inaendela#
#NASIMAMA NA MAMA#
#tupo tayari kwa sensa#
T2025 SSH
Namba 3 sawa.
Lakini haziivi na Mtemi
 
Solution pekee ni kubinafsisha bandari zote, watendaji wote wabaki waajiriwa tu wa muwekezaji. Muwekezaki awe na nguvu ya kuajiri na kufukuza.

Ndani ya miaka miwili kila mtu atasifia utendaji wa bandari hizi.

Tunaleanaleana sana Watanzania.
Hauko siriazi hata kidogo.
Kubinafsisha bandani ni sawa na kubinafsisha mipaka ya nchi, au uwanja wa ndege.
Bandari moja ya mipaka ya nchi sawa na uwanja wa ndege na border yoyote.

Kinachoweza kufanyika labda kuajiri DG wa kigeni akiwa na wasaidizi wazawa....sijui kama sgeria inaruhusu.
Hii italeta ufanisi
 
Una akili timamu?
Nikuulize wewe ....unapenda kuteuliwa eh.......maisha sio rahisi hivyo wewe ndezi.....kwa taarifa yako tunakoenda hizo nafasi hazitakuwa za uteuzi...
Zitatangazwa na usaili utakuwa wa kufa mtu..hakutakuwa na room ya kukaribisha vilaza kama wewe..
Kazi Kazi....
Uteuzi utaupata kwenye matawi ya Chama.
 
Ili kuondoa mzizi kabisa bandari iingie kwenye ofisi ya rais au waziri mkuu ili iwe karibu na ofisi hizo ila bandali ukiwa mgumu sana uhai wako uko mashakani utawindwa kama nguruwe pori
 
Ungeturekebishia bei za ndinga hasa european, ungeandika historia kubwa
Yani cha kwanza ni kodi za magari ni according kwa miaka.

Hakuna kununua gari ya chini ya 2010 otherwise utalipa mara mbili ya kodi zinazotakiwa.. Kwa kuanza na sedan,hatchback au van kama Noah au Alphard kodi ni 3m ikiwa SUV ni 5m na likiwa basi mfano wa Coaster au Nissan civilian 10m, kwa mini van kama hiace ni 7m. Engine utajichagulia mwenyewe hata ikiwa na 20000cc ni wewe tu.

Yale madude ya construction ndio kodi yake itakuwa 20% ya CIF value respectively.
 
Matatizo ya bandari sio ya kiutendaji Bali yanatokana na huyo huyo SAMIA na genge lake.Akitaka hata Leo bandari ijiendeshe na nchi iendeshwe kwa mapato ya bandari pekee inawezekana hata zaidi ya ule msemo wa Kagame,Ma DG wa bandari hawapewi meno na mbaya zaidiwanaoteua ndio hao hao wanavunja utaratibu what do you expect??
 
Ni wazi bandari kuna shida kwa muda mrefu sana, na hili limekua tatizo kwa viongozi wetu kwa kuwa yanayoendelea huko yanawanyima sana usingizi.

Tatizo kubwa lipo kwa wanaoteuliwa kuongoza bandari. Haapo ndio tatizo lilipo, bado hatujapata watu makini kabisa. Ila nina amini ukimteua mmoja Kati ya hawa kuwa mkurugenzi bandari, ndani ya mwaka mmoja utayaona mabadiliko ambayo hujawahi kuyaona.

1) Nickson Simon (Nikki wa Pili)
- Huyu kwa Sasa ni mkuu wa wilaya kisarawe, ni msomi, mbunifu, mchapakazi na mwerevu sana. Ana akili kubwa na naamini ndani ya muda mfupi Kuna mageuzi makubwa sana yatatokea bandarini. Huyu ni mmoja wa vijana ambae amejitolea kwa ajili ya kupigania na kuleta Maendeleo ya taifa lake. Mpe nafasi, utanishukuru baadae

2) Kenan Kihongosi
- Huyu ni katibu mkuu uvccm taifa, kabla alikua ni mkuu wa wilaya. Ulimuamini na kumpa majukumu makubwa ya kuongoza taasisi kubwa Kama uvccm. Huyu Kama walivyo viongozi wengine ana mapungufu yake, ila ukimuweka sawa kidogo atafanya maajabu makubwa Sana

3) Humphrey Polepole
- Huyu ni balozi wetu nchini Malawi, ana uwezo mkubwa sana wa kimageuzi kwenye taasisi yoyote ile. Kama ilivyo kwa viongozi wengine, ana mapungufu yake ila ukimuweka sawa kidogo tu ana uwezo mkubwa ambao utaleta mabadiliko ambayo hayajawahi kutokea pale bandarini.

Hao vijana watatu ni hazina kubwa kwa taifa hili, mmoja Kati ya hao hasa huyo wa kwanza Nikki. Ukiwapa nafasi ya kuongoza sehemu kama bandari tutashuhudia mabadiliko makubwa ambayo hatutakujaa kuyasahau. Ila hii kuendelea kuteua watu wa hapohapo hatutafika kabisa, yatarudi yaleyale

Mheshimiwa mtukufu Raisi naomba usikilize haya maoni yetu(ya wengi). Wakati ni sasa wa mabadiliko bandarini. Tumechoka kuwa shamba la bibi.

#kazi inaendela#
#NASIMAMA NA MAMA#
#tupo tayari kwa sensa#
T2025 SSH
🤔
 
BANDARI NI LANGO LA UCHUMI HAO ULIOWATAJA NI WAHUNI KAMA WAHUNI WENGINE
 
Mbeeengo zetafoongookaa
 
Back
Top Bottom