Rais Samia: TBS msiwe kikwazo kwa wafanyabiashara

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Feb 24, 2012
5,011
9,876
Rais Samia Suluhu Hassan amewataka Shirika la Viwango Tanzania (TBS) kuacha tabia ya kuwa kikwanzo kwa wafanyabiashara wa ndani na nje

Amesema kuna wafanya biashara huzungumza na TBS ambapo wamekuwa wakifunga biashara za wengine kwa kusema hazina viwango kitu ambacho huwa si kweli

Pia amezungumzia kuzuia baadhi ya bidhaa za nje kuingia nchini hali ambayo pia huwa ni kikwazo ktk ushirikiano
 
KWA GIYO SASA BIDHAA ZA BHE KAMA CEMENT NA SUKARI ZIIBGIE TU HOLELA KAMA ENZI ZA AWAMU YA NNE ILI TUFUNGE VIWANDA VYETU HUKU TUKIKU?A USHIRIKIANO WETU

Back
Top Bottom