Rais Samia Suluhu piga chini daraja la Kigongo - Busisi haijalishi lilipofikia

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,880
Daraja la Kigogo Busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.

Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.

Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
 
Daraja la Kigogo busisi ni halina maana yoyote ile. Matumizi mabovu mno ya fedha ambayo yangeelekezwa pengine.

Nakusihi Rais Samia Suluhu. Piga chini huu mzigo. Hakuna fedha zinazotolewa kama takrima. Eti kisa sijui kina fulani wanatokea hapo ndiyo iwe kigezo. Piga chini mama.

Lingine kwenye taasisi karibu zote za umma angalia sana viongozi wake. Kuna kigezo kimetumika kuwaweka pale. Kwa sasa nikupe muda ufanye kazi huku nikikuangalia kwa umakini mkubwa.
Tuliowahi kupata adha ya kuvuka pale wakati mwingine hadi saa sita usiku mko Busisi Ferry imeloga, tunaona umuhimu wa hilo daraja
 
Back
Top Bottom