PostGE2025 Rais Samia, soften your stance

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Retired

JF-Expert Member
Joined
Jul 22, 2016
Posts
50,196
Reaction score
96,315
Unaweza kubadili sura ya haya yaliyotokea/uliyoyasababisha kwa kuwa muungwana.

Sikiliza wananchi wanataka nini. Kutana nao jenga lililo jema nao! Kidogo unaweza kulainisha vyuma hivi vinavyosuguana kabla ya kuwaka moto, Na moto ukiwaka utakuunguza.
 
IMG-20251202-WA0102.jpg
 
Retired inawezekana kabisa hili jambo akalimaliza. Ni kama enzi zile za Askofu Gwajima, tulimpa mbinu za kulimaliza ila akashupaza shingo leo Kanisa limefunguliwa na yeye Samia ndiyo kachafukw zaidi. Hili jambo jibu lake lilikuwa very simple. Kwanza kabisa anaweza ku declare kufuta uchaguzi, uchunguzi huru, katiba mpya na tume huru ya uchaguzi na within 2 to three years yeye anaachia madaraka na hapo hapo aunde tume ya maridhiano akili alikosea basi mambo yataisha. Ila kwa jinsi anavyodhani anatamani hata wewe Retired agekuwa anakujua basi kwa maoni yako angekuua
 
Anajua wananchi wanataka nini, ila hayuko tayari na hicho wananchi wanachi wanachotaka. Maana wananchi hawamtaki yeye kuwa rais wao, kitu ambacho yeye na genge lake hawaki tayari kukubali.
 
Unaweza kubadili sura ya haya yaliyotokea/uliyoyasababisha kwa kuwa muungwana.

Sikiliza wananchi wanataka nini. Kutana nao jenga lililo jema nao! Kidogo unaweza kulainisha vyuma hivi vinavyosuguana kabla ya kuwaka moto, Na moto ukiwaka utakuunguza.
La kuanza nalo ni kukomesha utekaji na hukumu za nje ya mahakama. Mengine yatafuata.
 
Unaweza kubadili sura ya haya yaliyotokea/uliyoyasababisha kwa kuwa muungwana.

Sikiliza wananchi wanataka nini. Kutana nao jenga lililo jema nao! Kidogo unaweza kulainisha vyuma hivi vinavyosuguana kabla ya kuwaka moto, Na moto ukiwaka utakuunguza.
Pale hakuna kitu.

Lawama zote kwa mwendazake, sijui kwanini aliamua huyu mtu awe VP?

Ana roho mbaya sana.

Anaua maelfu ya watu ili yeye atawale tena miaka mitano.
 
Aache kumsikiliza boss wake asikilize wananchi 😁
 
Retired inawezekana kabisa hili jambo akalimaliza. Ni kama enzi zile za Askofu Gwajima, tulimpa mbinu za kulimaliza ila akashupaza shingo leo Kanisa limefunguliwa na yeye Samia ndiyo kachafukw zaidi. Hili jambo jibu lake lilikuwa very simple. Kwanza kabisa anaweza ku declare kufuta uchaguzi, uchunguzi huru, katiba mpya na tume huru ya uchaguzi na within 2 to three years yeye anaachia madaraka na hapo hapo aunde tume ya maridhiano akili alikosea basi mambo yataisha. Ila kwa jinsi anavyodhani anatamani hata wewe Retired agekuwa anakujua basi kwa maoni yako angekuua
Naomba niseme la nyongeza hapo"

Baada ya yaliyotokea, tulishauri na kuona kwamba kama hawezi ku declare yaliyotokea basi atengeneze uwajibikaji nikiwa na maana Aondoe wote walioko kwenye chain of command kipindi haya yanatokea CDF, Mkuu wa Jeshi la Polisi na wengine wote walioko kwenye hiyo chain lengo ni kuonyesha uwajibikaji kwa vijana waliopoteza uhai na Mali zilizopotea...

Au afanye jitihada za kuto kutolea ufafanuzi popote kwenye yaliyotokea, ila matokeo yake paap akajikuta anasema mara ni wageni mara wapinzani ndio waliochochea mara Wapumzike kwa amani which's to late

Ombi letu, Hakuna jambo gumu kama kuongoza mtu anayekupuuza au kuongoza watu wanaokuwekea ugumu kwenye utendaji wako.

Miaka 5 kuongoza kwa migomo na huzuni mioyoni mwa watu ni ngumu mnoo...
Hii ndio unahitimisha muhula wako unajikuta kwenye depression iyokwisha

Bado hajachelewa, anaweza kuanzia hapo hapo alipo na mambo yakaenda vizuri sana..
 
Unaweza kubadili sura ya haya yaliyotokea/uliyoyasababisha kwa kuwa muungwana.

Sikiliza wananchi wanataka nini. Kutana nao jenga lililo jema nao! Kidogo unaweza kulainisha vyuma hivi vinavyosuguana kabla ya kuwaka moto, Na moto ukiwaka utakuunguza.
wewe nae sijui una matatizo gani..huyu ni rais kwa uchaguzi upi?
 
Sikio la kufa, sasa unadanganywa na polisi ambao wengi ni elimu za kuungaunga na wamejaa shida hadi kwenye kope.....Muliro atakushauri nini? Yule mvuta bangi wao atakushauri nini?? Zero brain
 
Unaweza kubadili sura ya haya yaliyotokea/uliyoyasababisha kwa kuwa muungwana.

Sikiliza wananchi wanataka nini. Kutana nao jenga lililo jema nao! Kidogo unaweza kulainisha vyuma hivi vinavyosuguana kabla ya kuwaka moto, Na moto ukiwaka utakuunguza.
Samia ni ka Drm Salmin Amour komandoo
 
Miaka 5 ya moto kila mwezi kwake kutoboa ni kama mwaka
 
Ukiwaka si utamuunguza yeye? Unatia huruma gani?
Si mnataka kuichoma nchi? Chomeni tuone!
 
Back
Top Bottom