Wewe ndiye huna akili mkuu, rudi shule ukasome. Mkuu Pascal Mayalla njoo huku uwaone vijana wako wa JF waliokosa akili ya kuchambua mambo.Mkuu wewe una akili timamu kweli?
Duuh🙄Naingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi pasipo kuwachosha. Rais Dr Samia atajaribu kumuiga Magufuli lakini kamwe hataweza asilani hadi anaondoka madarakani. Wakati Dr Magufuli akiwa Rais aliusaidia sana mkoa wake wa Chato kimaendeleo na kiuchumi. Hili halihitaji utafiti kwani liko wazi kwa kila mtanzania mwenye akili zilizotimia.
Nawasilisha.
Acha double standard mkuu. Magufuli alipojenga Chato alitumia hela za nani? Mama alitakiwa achague mradi uliochangamka sio mradi wa maviwanja ya michezo ambayo hayana tija yoyote kwa wanaKizimkazi. Wewe unaona kafanya sawa?Duuh🙄
Kwa hiyo unataka akajenge international airport kijijini Kizimkazi?
Halafu gharama ziwe juu ya nani, Zanzibar au Tanganyika?
Huo siyo ufisadi wa fedha za walipakodi?
View attachment 2734248
Ungenijibu tu kuwa uko na akili timamu au lah basiWewe ndiye huna akili mkuu, rudi shule ukasome. Mkuu Pascal Mayalla njoo huku uwaone vijana wako wa JF waliokosa akili ya kuchambua mambo.
Itakua ndio basi tena.Mi nauliza tu kwa mfano “likitokea” huo ujenzi wa madarasa ya milioni 600 unaofanywa na NMB utaendelea au wataacha?
Wewe umeona hayo tu?? Fanya utafiti Tena. Kazi hujaimaliza. Ana uzalendo kwao balaaNaingia kwenye mada moja kwa moja na kwa ufupi pasipo kuwachosha. Rais Dr Samia atajaribu kumuiga Magufuli lakini kamwe hataweza asilani hadi anaondoka madarakani. Wakati Dr Magufuli akiwa Rais aliusaidia sana mkoa wake wa Chato kimaendeleo na kiuchumi. Hili halihitaji utafiti kwani liko wazi kwa kila Mtanzania mwenye akili zilizotimia.
Baada ya Dr Samia kushika madaraka anajaribu kufuata nyayo za Magufuli lakini ameshindwa kuzifuata sawasawa. Tukumbuke Magufuli alipeleka Chato mbuga ya wanyama, uwanja wa ndege wa kimataifa, hospitali ya kanda, mabenki, ujenzi wa vivuko vya majini, ujenzi wa barabara kila kona ya Chato na mambo mengine kadha wa kadha. Mtu kwao.
Sasa wewe fikiria Magufuli kapeleka kwao mambo yote haya halafu Dr Samia (chifu Hangaya) yeye anapeleka akademi ya mpira na matamasha ya “Usiku wa mama Samia”. Hivi huyu Rais kweli ana uzalendo wa kutosha kwa watu wa Kizimkazi kama Magufuli alivyokuwa serious na Chato? Mimi tpaul nasema huyu mama hana uzalendo na mahali alipotoka.
Hafai kwa kula wala kwa kulumangia. Hivi anawaonaje au anawachukuliaje watu wa Kizimkazi kwa kuwapelekea matamasha na viwanja vya mpira wakati wazanzibar mambo ya mpira sio kipaumbele chao?
View attachment 2734237
Mama aliwahi kusema yeye na Magufuli ni kitu kimoja. Iweje leo aende tofauti na Magufuli kama sio kukengeuka? Inasikitisha sana. Mtu kuwa pamoja na mtu sharti uwaji huo wa pamoja uhusishe matendo sio maneno matupu ambayo hayawezi kuvunja mfupa. Tafadhali sana Dr Rais Samia nakuomba uwaheshimishe wanaKizimkazi kama Magufuli alivyowaheshimisha wanaChato. Mdharau kwao ni mtumwa. Usiwe mtumwa Tanganyika ukasahau kwenu Zanzibar.
Nawasilisha.
The point is: Mdharau kwao ni mtumwa. Na point nyingine ni kwamba usijenge kwa jirani huku kwako kunaporomoka. Anzia kwako kwanza.What’s the real point here? Kama taifa tunapata thamani gani kuwa na viongozi wanaohamishia kwao rasilimali za taifa bila kufuata mipango ya kitaifa iliyoidhinishwa na bunge?
Naunga mkono hoja,Tafadhali sana Dr Rais Samia nakuomba uwaheshimishe wanaKizimkazi kama Magufuli alivyowaheshimisha wanaChato. Mdharau kwao ni mtumwa. Usiwe mtumwa Tanganyika ukasahau kwenu Zanzibar.
Nawasilisha.
Niambie kwanza kama umewahi kufika kizimkaziMimi nimeona hili tu mkuu. Kama kuna mengine nyuma ya pazia yaweke wazi.
Utasitishwa😁Mi nauliza tu kwa mfano “likitokea” huo ujenzi wa madarasa ya milioni 600 unaofanywa na NMB utaendelea au wataacha?