GE2025 Rais Samia: Rushwa imepungua nchini

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
2,437
Reaction score
5,235
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema mafanikio yaliyopatikana katika sekta mbalimbali nchini yametokana na usimamizi imara wa mapato ya serikali yanayotokana na kodi za wananchi na mikopo kutoka vyanzo mbalimbali.

“Tumesimamia matumizi mazuri, na watumishi wetu tumeweza kuwaweka kwenye mstari wa kusimamia matumizi na kuepuka rushwa, ndugu zangu,” amesema Dkt. Samia.

Amefafanua kuwa bila usimamizi huo madhubuti, mafanikio yaliyoshuhudiwa hivi sasa yasingekuwepo, huku akibainisha kuwa serikali imefanya kazi kubwa kuhakikisha nidhamu ya matumizi ya fedha za umma inalindwa.

Mara watoto watajua kusoma na kuandika darasa la tatu, mara usikivu na TBC, sasa ni rushwa imepungua. Sijawahi ona mgombea inept duniani kama huyu huwa nafikria ana tatizo la akili ila nikiona Zanzibar mbona anafanya vitu vya kueleweka naona anatufanyia mizaha watanganyika ndio maana licha ya uhakika wa ksuhinda kwa wizi hataki awe na mpinzani
 
Nachoshukuru jf ujumbe huwa unafika juzi kuna uzi kama sio Jana alisema sijawahi kuona rahisi anaekemea rushwa pia mimi nimeandika sana kuhusu rushwa na kusimamia maadili ya Utumishi wa Umma ujumbe unafika. MAMA ukisimama kwenye msingi ya Magufuli kusimamia watumishi wa umma na ukapambana Ufisadi na kuukemea na kuukataa Utapata kura nyingi sana
 
Polisi ana mabilioni kwenye akaunti zake. Wengine wanaendesha RR kwa mishahara gani?
 
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema mafanikio yaliyopatikana katika sekta mbalimbali nchini yametokana na usimamizi imara wa mapato ya serikali yanayotokana na kodi za wananchi na mikopo kutoka vyanzo mbalimbali.

“Tumesimamia matumizi mazuri, na watumishi wetu tumeweza kuwaweka kwenye mstari wa kusimamia matumizi na kuepuka rushwa, ndugu zangu,” amesema Dkt. Samia.

Amefafanua kuwa bila usimamizi huo madhubuti, mafanikio yaliyoshuhudiwa hivi sasa yasingekuwepo, huku akibainisha kuwa serikali imefanya kazi kubwa kuhakikisha nidhamu ya matumizi ya fedha za umma inalindwa.

Mwizi Pro Max kaibuka dakika za jiooooooni baada ya kuona moto wa Nepal
 
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema mafanikio yaliyopatikana katika sekta mbalimbali nchini yametokana na usimamizi imara wa mapato ya serikali yanayotokana na kodi za wananchi na mikopo kutoka vyanzo mbalimbali.

“Tumesimamia matumizi mazuri, na watumishi wetu tumeweza kuwaweka kwenye mstari wa kusimamia matumizi na kuepuka rushwa, ndugu zangu,” amesema Dkt. Samia.

Amefafanua kuwa bila usimamizi huo madhubuti, mafanikio yaliyoshuhudiwa hivi sasa yasingekuwepo, huku akibainisha kuwa serikali imefanya kazi kubwa kuhakikisha nidhamu ya matumizi ya fedha za umma inalindwa.

Kabda definition ya TUDHWA imebaadilika.
 
Huu ni uwongo mkubwa! Hakuna kipindi ambacho rushwa na ufisadi vilishamiri kwa kiwango cha utawala wa awamu hii. Zungumza na wafanyabiashara na wawekezaji waliopo Tanzania, utaujua ukweli. Ukipatwa na tatizo lolote lile, usitegemee kuna yeyote ndani ya Serikali anayeweza kulishughulikia bila ya wewe kumpa pesa. Wafanyabiashara na wawekezaji wanasema, hata huko nyuma maafisa wa Setikali walio wengi walikuwa wanaomba rushwa, lakini haikuwa ya kiwango cha sasa. Wanasema kwa sasa ukitaka waziri ashughulikie tatizo lako, mawaziri walio wengi wanataka uwahonge kuanzia milioni 100 kwenda juu, wakati hapo zamani ilikuwa kati ya milioni 5 mpaka 10.

Hata hiyo miradi michache iliyofanywa na Serikali siyo kwa sababu ya nidhamu ya matumizi ya pesa, bali ni kutokana na mikopo mikubwa ya matrilioni ya pesa iliyokopwa awamu hii, kiwango ambacho hakijawahi kutokea katika historia ya uhai wa Taifa hili. Kwa mikopo iliyochukuliwa, kama tungekuwa na Serikali yenye uwezo wa kusimamia matumizi ya fedha, hakika kungefanyika mambo makubwa ya ajabu, hata SGR ingekuwa imeisha, lakini hata hiyo pesa ya mikopo, nayo sehemu kubwa imeishia kwenye mifuko ya watawala na watendaji wa serikali wenye supervisory roles.
 
Mgombea wa Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Samia Suluhu Hassan, amesema mafanikio yaliyopatikana katika sekta mbalimbali nchini yametokana na usimamizi imara wa mapato ya serikali yanayotokana na kodi za wananchi na mikopo kutoka vyanzo mbalimbali.

“Tumesimamia matumizi mazuri, na watumishi wetu tumeweza kuwaweka kwenye mstari wa kusimamia matumizi na kuepuka rushwa, ndugu zangu,” amesema Dkt. Samia.

Amefafanua kuwa bila usimamizi huo madhubuti, mafanikio yaliyoshuhudiwa hivi sasa yasingekuwepo, huku akibainisha kuwa serikali imefanya kazi kubwa kuhakikisha nidhamu ya matumizi ya fedha za umma inalindwa.

Hili haliwezi kumpita Polepole
 
Back
Top Bottom