Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,869
- 32,709
Haoni aibu kuongea hivyo, eti pesa hatuna tunanyanyasika na mikopo, kweli? Tukichukua kuanzia mzee wa msoga na wale vibaraka wake, wewe na watu wako tunalipa madeni yote.
Ni dhambi kusema uongo, huku ukijua mnachofanya. Leo hii waziri wa Fedha anakuwa tajiri wa kupindukia, umewaruhusu wale ila wasivimbiwe.
Nani ataacha kuvimbiwa? Hakuna anayemzuia. Acheni kucheza na akili za wananchi. Acheni ufisadi, mtaviacha kama wengine.