kuna kitu mama hajakijua, wanaomuunga mkono wanamchezesha mchezo wa kisiasa dhidi ya sukuma gang ili wao wanufaike kisiasa, atakuja kuligundua hili akiwa amechelewa na hapa ndo atapitia wakati mgumu zaidi kisiasa, mi naombea huu upuuzi uendelee ili ccm tuwangoe 2025