Wala sio chama ni genge la wahuniSamia na Magufuli ni walewale. Ccm sio chama tena cha wakulima na wafanyakazi.
AMEN AMENUshauri kutoka kwa Waziri wastaafu Msuya na Warioba wamekupa siri kuu
Wananchi wanahitaji maendeleo sio kuumizana
Anza na kesi ya Mbowe Mahakama zinakuingiza mkengd
Serikali ni kubwa mno
Punguza viongozi utawala
Unaowateua hawana kazi ndio maana wanashinda wakizunguka kuongea upumbavu
EU Bunge uyumbe umewafikia wahusika.....
Take action sio kulalamika tuuuuuu then what?
Mwisho wa siku hiyo kauli yake ataikana ushahidi utakapoanza kuoneshwa hadharani. Mwananchi gani atakayekubali kusimama naye wakati walishamwelewa yukoje na lengo lake ni lipi?Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ndani ya serikali ambayo wanafanya wanayoyajua na kulaumu kuwa ufisadi umerudi awamu ya sita wakati wao ndio wako hovyo
Amesema mambo ya hovyo hayajafanyika hawamu ya sita yamefanyika huko nyuma na gari bovu wanaliangushia awamu ya sita, jambo ambalo hatokubali
Rais amesema hatakubali jambo hilo kwa kuwa ameapa kusimamia za wananchi na atasimama na wananchi
Kunyamaza ina maana alikuwa nae kwenye matakatakaMama alikuwa hana say mbele ya fisadi mkuu aliyeitia Nchi hasara ya kutisha.
MAMA AKAE NA WAPINZANI AUNDE KIKOSI KAZI CHA WATAALAMU KITAKACHO PAMBANA KUINUA UCHUMI WETU!Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ndani ya serikali ambayo wanafanya wanayoyajua na kulaumu kuwa ufisadi umerudi awamu ya sita wakati wao ndio wako hovyo
Amesema mambo ya hovyo hayajafanyika hawamu ya sita yamefanyika huko nyuma na gari bovu wanaliangushia awamu ya sita, jambo ambalo hatokubali
Rais amesema hatakubali jambo hilo kwa kuwa ameapa kusimamia za wananchi na atasimama na wananchi
Na huu ndio ukweli.Hii nchi ilishaharibiwa Sana na Mwendazake na genge lake na Sasa wale masalia wanajitahidi Sana kumharibia Ili aonekane ameshindwa ..Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ndani ya serikali ambayo wanafanya wanayoyajua na kulaumu kuwa ufisadi umerudi awamu ya sita wakati wao ndio wako hovyo
Amesema mambo ya hovyo hayajafanyika hawamu ya sita yamefanyika huko nyuma na gari bovu wanaliangushia awamu ya sita, jambo ambalo hatokubali
Rais amesema hatakubali jambo hilo kwa kuwa ameapa kusimamia za wananchi na atasimama na wananchi
Keshawafahamu,wewe tulia wataenguliwa na watazibwa midomo hawataki wataenda kujibia utajiri walionao walipata wapi.Anasimama na Wananchi wapi hao anawazungumzia?
Wale wale waliombiwa na mwigulu kua wahamie burundi?
Au Mimi Ndo sijaelewa[emoji848]
Tumuamini nani sasa maana kila anayekuja anasema mwenzake alisababisha uozo😃😃😃Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ndani ya serikali ambayo wanafanya wanayoyajua na kulaumu kuwa ufisadi umerudi awamu ya sita wakati wao ndio wako hovyo
Amesema mambo ya hovyo hayajafanyika hawamu ya sita yamefanyika huko nyuma na gari bovu wanaliangushia awamu ya sita, jambo ambalo hatokubali
Rais amesema hatakubali jambo hilo kwa kuwa ameapa kusimamia za wananchi na atasimama na wananchi
Anataka kusema kwamba hata yeye ni binadam anafanyaga makosa ila sasa haya ya sasa siyo yakeAnataka kusema John Pombe Joseph Magufuli na kundi lake ndiyo walikuwa mafisadi papa?
WAHUNI WA POLEPOLE.
Hapa nakumbuka kesi ya kigaidi ya akina mbowe iliyoanza tar 5 august 2020 nayo ni moja ya Mambo ya hovyoRais Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ndani ya serikali ambayo wanafanya wanayoyajua na kulaumu kuwa ufisadi umerudi awamu ya sita wakati wao ndio wako hovyo
Amesema mambo ya hovyo hayajafanyika hawamu ya sita yamefanyika huko nyuma na gari bovu wanaliangushia awamu ya sita, jambo ambalo hatokubali
Rais amesema hatakubali jambo hilo kwa kuwa ameapa kusimamia za wananchi na atasimama na wananchi
Januari ana kosa gani?Mama anatucheza shere.... Unaweka mtu km JM halafu unakuja kulaumu????
Anamlaumu Magufuli huyu kwani kazi imemshinda sasa keshaanza kulialiaRais Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ndani ya serikali ambayo wanafanya wanayoyajua na kulaumu kuwa ufisadi umerudi awamu ya sita wakati wao ndio wako hovyo
Amesema mambo ya hovyo hayajafanyika hawamu ya sita yamefanyika huko nyuma na gari bovu wanaliangushia awamu ya sita, jambo ambalo hatokubali
Rais amesema hatakubali jambo hilo kwa kuwa ameapa kusimamia za wananchi na atasimama na wananchi
Januari ana kosa gani?