Roho Mbaya
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 777
- 677
Anasimama na Wananchi gani? Wamachinga mambo hovyo, Bei vitu mtaani haikamatiki na tozo kila konaRais Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ndani ya serikali ambayo wanafanya wanayoyajua na kulaumu kuwa ufisadi umerudi awamu ya sita wakati wao ndio wako hovyo
Amesema mambo ya hovyo hayajafanyika hawamu ya sita yamefanyika huko nyuma na gari bovu wanaliangushia awamu ya sita, jambo ambalo hatokubali
Rais amesema hatakubali jambo hilo kwa kuwa ameapa kusimamia za wananchi na atasimama na wananchi
anatuchezea akili,hatutaki maneno!!? ,Kama kweli mbona hatuoni vitendo vinavyoakisi kweli amesimama na wananchi,hizo ni nons........w........n.....seeeeeeee!! we need action to prove her commitment to us!!! and not just bla bla balaaa.Safi sana Mama Samia
Na bado mtatiana sana vidole machoni MaCCM.Chief H bhana, kila jambo Na kila tope anataka kuaminisha kuwa yamesababishwa Na mwanaChato
Akili za kuambiwa chabgabta na za kwakowananchi wapi, hao unataka kuwauza kwa wachina kwa miaka99?
Siku kila kitu kikiparaganyika ndipo mtajua kwamba marehemu hasingiziwi...Endeleeni na usani wenu tu....Magufuli alikuwa fisadi lao nkuu wa mafisango na vijibwa vyake.
Haitakaa itokee...Siyo Tanzania labda nchi nyingine ya kufikirika...wananchi wapi, hao unataka kuwauza kwa wachina kwa miaka99?
Hapa nina shaka na weledi wa kiuongozi kwani nadhani ni jukumu la kurekebisha mabovu sio hiiRais Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ndani ya serikali ambayo wanafanya wanayoyajua na kulaumu kuwa ufisadi umerudi awamu ya sita wakati wao ndio wako hovyo
Amesema mambo ya hovyo hayajafanyika hawamu ya sita yamefanyika huko nyuma na gari bovu wanaliangushia awamu ya sita, jambo ambalo hatokubali
Rais amesema hatakubali jambo hilo kwa kuwa ameapa kusimamia za wananchi na atasimama na wananchi
Ona hii juhaUkweli ni ukweli wala usitumie nguvu nyiiingi kuusema watu wanaelewa
Piga kazi watu waneemeke
Hivi kumbe yule adui yetu ujinga nae bado yupo ona huyu sasaAkili za kuambiwa chabgabta na za kwako
Nikikwambia juha mama yako utafurahi?Ona hii juha
Nenda kalikumbatie kaburi huko Chato, acha kumsumbua Raisi wetu mpendwa Samia Suluhu HassanSiku kila kitu kikiparaganyika ndipo mtajua kwamba marehemu hasingiziwi...Endeleeni na usani wenu tu....
Kwa iyo unataka watu wapange vitu hadi barabarani waachwe tu?Anasimama na Wananchi gani? Wamachinga mambo hovyo, Bei vitu mtaani haikamatiki na tozo kila kona