Analogia Malenga
Platinum Member
- Feb 24, 2012
- 5,292
- 10,842
Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ndani ya serikali ambayo wanafanya wanayoyajua na kulaumu kuwa ufisadi umerudi awamu ya sita wakati wao ndio wako hovyo
Amesema mambo ya hovyo hayajafanyika hawamu ya sita yamefanyika huko nyuma na gari bovu wanaliangushia awamu ya sita, jambo ambalo hatokubali
Rais amesema hatakubali jambo hilo kwa kuwa ameapa kusimamia za wananchi na atasimama na wananchi
Safi sana Mama SamiaRais Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ndani ya serikali ambayo wanafanya wanayoyajua na kulaumu kuwa ufisadi umerudi awamu ya sita wakati wao ndio wako hovyo
Amesema mambo ya hovyo hayajafanyika hawamu ya sita yamefanyika huko nyuma na gari bovu wanaliangushia awamu ya sita, jambo ambalo hatokubali
Rais amesema hatakubali jambo hilo kwa kuwa ameapa kusimamia za wananchi na atasimama na wananchi
Anataka kujifanya malaika wakati ndo mkuu wa serikali [emoji3064]kubambikia wapinzani kesi za uongo ni kusimama na shetani.
Mama amekuta uozo mkubwa ambao chanzo chake Ni awamu ya Tano,Rais Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ndani ya serikali ambayo wanafanya wanayoyajua na kulaumu kuwa ufisadi umerudi awamu ya sita wakati wao ndio wako hovyo
Amesema mambo ya hovyo hayajafanyika hawamu ya sita yamefanyika huko nyuma na gari bovu wanaliangushia awamu ya sita, jambo ambalo hatokubali
Rais amesema hatakubali jambo hilo kwa kuwa ameapa kusimamia za wananchi na atasimama na wananchi
Bila shaka ,na ndiyo maana walitumia pesa za wananchi vibaya kwa kununua wanasiasa WapinzaniAnataka kusema John Pombe Joseph Magufuli na kundi lake ndiyo walikuwa mafisadi papa?
WAHUNI WA POLEPOLE.
Kwanini CCM iwe chama cha wakulima na wafanyakazi pekee ilihali wasanii na wafanyabiashara pia wanahaki ya kuwa wanachama CCM?Samia na Magufuli ni walewale. Ccm sio chama tena cha wakulima na wafanyakazi.
Aliyemrudisha makamba ni nani mtu anayetuhumiwa kuww na vitendo visivyokuwa vya kiuaminifu unnazaje kumpa wizara mhimu .makamba ndo akawarudisha akina sinare family wahujumi wa tenescoRais Samia Suluhu Hassan amesema kuna makundi ndani ya serikali ambayo wanafanya wanayoyajua na kulaumu kuwa ufisadi umerudi awamu ya sita wakati wao ndio wako hovyo