Anataka kufanya kwa maelekezo ya Makamba? Kama alivyonteua Maharage baada ya kufanyiwa usail na Makamba?
Mambo ni mengi mno, naona Makamba anepata chaka lingine la kupiga fedha za Umma kwa kisingizio cha βreformβ
Halafu amwambie Makamba yule aliyempa tenda za Nguzo za zege zimeanza kukatika huku