ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 45,536
- 52,604
Zelensky mbona ni msanii au kuwa msanii inakiuka Katiba?Keshakuwa msanii kumbe 🤣.
Zelensky mbona ni msanii au kuwa msanii inakiuka Katiba?Keshakuwa msanii kumbe 🤣.
Hata kipofu anaweza kuona hao wawili ni kina Nani.Oyaaa 🤣
Endelea kusubiria Rais akutafutie maisha ,utasubiria Hadi unakufaHuyu Wamemtoaga wapi aise mbona vituko kila siku migao ya umeme mfumuko wa bei bandari imeuzwa safari za arabuni haziishi leo kaanza na ustering wa ma movie du
Kuna shida?Duh! Rais kawa Bongo movie?
Sio kweli,una uhakika? Una takwimu za Idadi ya watalii au unapayuka tuu?Royal Tour is essentially a White Elephant...
🤣🤣🤣Kumbe huyu Raisi ni Msanii?! Ndio maana anatupiga Danadana kwenye Katiba Mpya na Tume HURU ya Uchaguzi.
🚮🚮 Kuna kitu mnajua nyie zaidi ya mdomo?Dah uongo mbaya time hii watanganyika tumepatikana.. Hivi kumbe muda wote akiwa makam alikuwa anawaonea wivu kina Tima na Kibibi
Samia kawa msanii!Zelensky mbona ni msanii au kuwa msanii inakiuka Katiba?
Tusubiri Ubunifu mwingine wa Rais wetu Mpendwa hivi karibuni
Mungu wa Mbinguni azidi kumbariki
Nawatakia Heri ya Mwaka Mpya!
Mkuu taja kiasi kilichopakuliwa na walio husika! Sio unachoooonga maneno matupu!Ndiyo maana wateule wake wanajipakulia tu mihela
Wewe wasema ila anaigiza filamu maalumu za kutangaza vivitio vya Utalii wa Tanzania Kwa faida ya Tanzania Hadi lengo la watalii mil.5 lifikiwe by 2025.Samia kawa msanii!
Anatumia muda wake wa mapumziko...Nilikuwa sijui tumeajiri Muigizaji kule Ferry 🙌
Imagine kazi ya ku-shoot hilo Igizo linachukua siku 10 hadi 30 kwahiyo kazi zetu anazifanya saa ngapi?
Daaaah..... Tumepigwa na kitu kizito hapa.Tusubiri Ubunifu mwingine wa Rais wetu Mpendwa hivi karibuni
Mungu wa Mbinguni azidi kumbariki
Nawatakia Heri ya Mwaka Mpya!
Nadhani achukuliwe pia na kwenye tamthiliya ya Huba au Mama Kimbo. Naona amegundua uwezo wake upo wapi.... Safi sana ameanza jitambua.Wewe wasema ila anaigiza filamu maalumu za kutangaza vivitio vya Utalii wa Tanzania Kwa faida ya Tanzania Hadi lengo la watalii mil.5 lifikiwe by 2025.
Alishasema siku nyingi tuu kwamba Royal tour nyingine nyingi tuu zinakuja,shida yenu nyie nyumbu wa Chadema ni nini hasa?
MASIKINI TANZANIA YANGU NAONA KM TUMEPOTEA KABISATusubiri Ubunifu mwingine wa Rais wetu Mpendwa hivi karibuni
Mungu wa Mbinguni azidi kumbariki
Nawatakia Heri ya Mwaka Mpya!