johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 84,803
- 143,269
- Thread starter
- #21
HayaTrump siyo raisi.
HayaTrump siyo raisi.
Safi amekuwa sythia rothrockTusubiri Ubunifu mwingine wa Rais wetu Mpendwa hivi karibuni
Mungu wa Mbinguni azidi kumbariki
Nawatakia Heri ya Mwaka Mpya!
Kumbe mother no Bongo movie. Ndo maana hayuko serious na nchiTusubiri Ubunifu mwingine wa Rais wetu Mpendwa hivi karibuni
Mungu wa Mbinguni azidi kumbariki
Nawatakia Heri ya Mwaka Mpya!
Ohooo ndiyo maana Stev Nyerere anaulaa!!!!Kumbe mother no Bongo movie. Ndo maana hayuko serious na nchi
Astaghafilau laizimu ,CCM ni laanaTusubiri Ubunifu mwingine wa Rais wetu Mpendwa hivi karibuni
Mungu wa Mbinguni azidi kumbariki
Nawatakia Heri ya Mwaka Mpya!
Amita Bachan kwenye ubora wakeTusubiri Ubunifu mwingine wa Rais wetu Mpendwa hivi karibuni
Mungu wa Mbinguni azidi kumbariki
Nawatakia Heri ya Mwaka Mpya!
Hakika ni za kwetuSenema zetu
Ulifikiri ni yule mshamba wa chato aliyetaka kuua watu kwa njaa ya kuua private sector?Nilikuwa sijui tumeajiri Muigizaji kule Ferry 🙌
Imagine kazi ya ku-shoot hilo Igizo linachukua siku 10 hadi 30 kwahiyo kazi zetu anazifanya saa ngapi?
Duh! Rais kawa Bongo movie?Tusubiri Ubunifu mwingine wa Rais wetu Mpendwa hivi karibuni
Mungu wa Mbinguni azidi kumbariki
Nawatakia Heri ya Mwaka Mpya!
Yaani tumepigwa nyang'anyang'a, hatuna chetu.Job true true