Rais Samia Ni Mwamba Kwelikweli Na Chaguo La Mungu. Atoa Kibali kingine cha Ajira Elfu 41,500

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2022
Posts
36,348
Reaction score
23,757
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Rais Samia ni Mwamba Kwelikweli,Ni Chaguo La Mungu ,Ni Nuru Na Mwanga Wa Taifa. Ni Kiongozi Aliyefanyika Baraka kwa Maisha Ya Watanzania,Ni Neema Na Baraka Kwa Taifa Hili. maisha yake ni Baraka kwa watu wote.

Mama Samia Kwa Hakika atakumbukwa vizazi na vizazi. Mama yeye na Rais Wetu Mpendwa baada ya siku chache zilizopita kutoa na kumwaga maelfu ya ajira kwa vijana. Sasa Karejea tena kwa kishindo kikuu kwa kutoa kibali cha ajira zaidi ya 41,500 katika sekta mbalimbali.

Hali iliyowaripua vijana kwa shangwe ,nderemo na vifijo mitaani kote. Ikumbukwe ya ku wa miaka michache iliyopita Kabla yake vijana walikuwa wamejikatia tamaa kabisa ya kupata ajira serikalini. Lakini Mama huyu mwenye moyo wa upendo ,ukarimu na huruma amekuja kuwasha taa ya matumaini kwa vijana . Ambapo kila mwaka anatoa maelfu kwa maelfu ya ajira kwa vijana..

Hatua ambayo inakwenda kuongeza kipato kwa vijana ,kuondoa utegemezi wa kipato ,kuongeza mzunguko wa pesa ,kuinua maisha ya vijana . Ni hatua ambayo si tu ni furaha kwa vijana bali hata kwa wazazi waliohenyeka kwa jasho na Damu katika kusomesha vijana wao.

Leo Mama anaendelea kuonyesha namna anavyoguswa na Maisha ya watu, anaonyesha namna alivyo msikivu. Mama kasikiliza kilio cha vijana na kuamua kukijibu kwa vitendo. Kwa hakika Mama anapaswa kushukuriwa na kuuungwa mkono.

Ukimchukia Mama Mama yetu unakuwa na sababu zako binafsi za kijinga na chuki zako binafsi pamoja na ubaguzi tu. Ni Mama ambaye amegusa maisha ya kila mmoja wetu. Kwa hakika Rais Samia Ni Zawadi kwetu tunayopaswa kuitunza kwa wivu Mkubwa sana.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Screenshot_20251218-210002_1.jpg
 
Wajinga ndio mtawaokota kwa hizi data za kupika. Kama yeye mwenyewe katangazwa kwa kura 31m za uongo, ndio itakuwa idadi ya waajiriwa?
Huzuri ni kwamba na wajinga nao wamebaki wachache
 
Hizo ni porojo tu zilitangazwa hata mwaka jana hivyo hivyo lkn ilikuwa ni utapeli mtupu.

Ukweli ni kwamba hakuna ajira kwa sasa kwani serikali hii imefirisika na inajaribu sana kujipendekeza kwa wananchi baada ya mauaji yale ya kimbare.
 
Wewe ni msemaji wa Mungu, kiasi cha kujua nani ni chaguo na nani siyo chaguo la Mungu?
Fanyeni uchawa wenu kwa kadiri mnavyoweza, lakini msivuke mipaka kiasi cha kumfanya Mwenyezi Mungu ni mtani wenu. Mnavuna laana ambazo mna uwezo wa kuziepuka.
Mwenyezi Mkuu ni mkuu mno, siyo wa kumchezea, kiasi cha kumwingiza kwenye uchawa wenu. Fanyeni upuuzi wenu wote, hata kumtangaza huyo muuaji wenu kuwa ndiye mwenye akili na nguvu kuliko wanadamu wote Duniani, lakini msilikufuru jina la Mwenyezi Mungu, kiasi cha kumwunganisha kwenye uchawa na unafiki wenu.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Rais Samia ni Mwamba Kwelikweli,Ni Chaguo La Mungu ,Ni Nuru Na Mwanga Wa Taifa. Ni Kiongozi Aliyefanyika Baraka kwa Maisha Ya Watanzania,Ni Neema Na Baraka Kwa Taifa Hili. maisha yake ni Baraka kwa watu wote.

Mama Samia Kwa Hakika atakumbukwa vizazi na vizazi. Mama yeye na Rais Wetu Mpendwa baada ya siku chache zilizopita kutoa na kumwaga maelfu ya ajira kwa vijana. Sasa Karejea tena kwa kishindo kikuu kwa kutoa kibali cha ajira zaidi ya 41,500 katika sekta mbalimbali.

Hali iliyowaripua vijana kwa shangwe ,nderemo na vifijo mitaani kote. Ikumbukwe ya ku wa miaka michache iliyopita Kabla yake vijana walikuwa wamejikatia tamaa kabisa ya kupata ajira serikalini. Lakini Mama huyu mwenye moyo wa upendo ,ukarimu na huruma amekuja kuwasha taa ya matumaini kwa vijana . Ambapo kila mwaka anatoa maelfu kwa maelfu ya ajira kwa vijana..

Hatua ambayo inakwenda kuongeza kipato kwa vijana ,kuondoa utegemezi wa kipato ,kuongeza mzunguko wa pesa ,kuinua maisha ya vijana . Ni hatua ambayo si tu ni furaha kwa vijana bali hata kwa wazazi waliohenyeka kwa jasho na Damu katika kusomesha vijana wao.

Leo Mama anaendelea kuonyesha namna anavyoguswa na Maisha ya watu, anaonyesha namna alivyo msikivu. Mama kasikiliza kilio cha vijana na kuamua kukijibu kwa vitendo. Kwa hakika Mama anapaswa kushukuriwa na kuuungwa mkono.

Ukimchukia Mama Mama yetu unakuwa na sababu zako binafsi za kijinga na chuki zako binafsi pamoja na ubaguzi tu. Ni Mama ambaye amegusa maisha ya kila mmoja wetu. Kwa hakika Rais Samia Ni Zawadi kwetu tunayopaswa kuitunza kwa wivu Mkubwa sana.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3537121
Yaani hapa nilipo nabubujikwa na machozi.
 
Mimi siyo Chawa
Ukitaka kujua kiwango cha uchawa wako, weka majina matatu ya wale walioajiriwa kwenye zile ajira mlizosema ni 12,000, kisha kila jina liwe na NIDA namba na namba ya simu kama hamjaingia aibu ya mwaka.
 
Ndugu zangu Watanzania,

Kwa hakika Rais Samia ni Mwamba Kwelikweli,Ni Chaguo La Mungu ,Ni Nuru Na Mwanga Wa Taifa. Ni Kiongozi Aliyefanyika Baraka kwa Maisha Ya Watanzania,Ni Neema Na Baraka Kwa Taifa Hili. maisha yake ni Baraka kwa watu wote.

Mama Samia Kwa Hakika atakumbukwa vizazi na vizazi. Mama yeye na Rais Wetu Mpendwa baada ya siku chache zilizopita kutoa na kumwaga maelfu ya ajira kwa vijana. Sasa Karejea tena kwa kishindo kikuu kwa kutoa kibali cha ajira zaidi ya 41,500 katika sekta mbalimbali.

Hali iliyowaripua vijana kwa shangwe ,nderemo na vifijo mitaani kote. Ikumbukwe ya ku wa miaka michache iliyopita Kabla yake vijana walikuwa wamejikatia tamaa kabisa ya kupata ajira serikalini. Lakini Mama huyu mwenye moyo wa upendo ,ukarimu na huruma amekuja kuwasha taa ya matumaini kwa vijana . Ambapo kila mwaka anatoa maelfu kwa maelfu ya ajira kwa vijana..

Hatua ambayo inakwenda kuongeza kipato kwa vijana ,kuondoa utegemezi wa kipato ,kuongeza mzunguko wa pesa ,kuinua maisha ya vijana . Ni hatua ambayo si tu ni furaha kwa vijana bali hata kwa wazazi waliohenyeka kwa jasho na Damu katika kusomesha vijana wao.

Leo Mama anaendelea kuonyesha namna anavyoguswa na Maisha ya watu, anaonyesha namna alivyo msikivu. Mama kasikiliza kilio cha vijana na kuamua kukijibu kwa vitendo. Kwa hakika Mama anapaswa kushukuriwa na kuuungwa mkono.

Ukimchukia Mama Mama yetu unakuwa na sababu zako binafsi za kijinga na chuki zako binafsi pamoja na ubaguzi tu. Ni Mama ambaye amegusa maisha ya kila mmoja wetu. Kwa hakika Rais Samia Ni Zawadi kwetu tunayopaswa kuitunza kwa wivu Mkubwa sana.

Kazi iendelee, Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania wanyonge wasio na Sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.View attachment 3537121
Screenshot_20260130-103758~2.png
 
Back
Top Bottom