Rais Samia ni mtu kwelikweli

Rais Samia ni mtu kwelikweli

Sema jiongeze uwe multi-purpose usitegemee one source of income huku uki-praise politicians kwa kutegemea Huruma ya Binadamu mwenzako that all.
 
Mkiniita chawa ni poa tu maana anayenipandisha daraja Kwa Kaz ni yeye.....Kuna mtu atasema kupanda daraja ni haki yako....lakin atajisahau kuwa ndani ya haki hii Kuna bossdume alitubania balaa....

Ni hivi,siku ya wanawake tar 8/3...Jana hiyo....hotuba ya mama kama uliisikiliza vyema....anataka amani...nchi iwe na aman....anakuambia hivi Mbali na Russia & Ukraine kuamua kupigana lakini mwisho wa siku watatengeneza amani Kwa njia ya mazungumzo,maridhiano,amani huja Kwa kukaa na kuzungumza.Aisee,nimependa.

Maana anajua hata tukigombana tutakaoumia ni sisi digidigi.Nakupenda mama
Nje ya mada rafiki
IMG-20230309-WA0000.jpg
 
Hotuba moja watu washaanza kubadilika hadi inafika 2025 na Mbowe atamuombea kura Samia

Mimi sioni shida kama kweli CCM itabadilika na kuomba radhi , lakini kwa walivyokuwa hawana historia nzuri Shetani kuwa malaika itakuwa ni miujiza
 
Mkiniita chawa ni poa tu maana anayenipandisha daraja Kwa Kaz ni yeye.....Kuna mtu atasema kupanda daraja ni haki yako....lakin atajisahau kuwa ndani ya haki hii Kuna bossdume alitubania balaa....

Ni hivi,siku ya wanawake tar 8/3...Jana hiyo....hotuba ya mama kama uliisikiliza vyema....anataka amani...nchi iwe na aman....anakuambia hivi Mbali na Russia & Ukraine kuamua kupigana lakini mwisho wa siku watatengeneza amani Kwa njia ya mazungumzo,maridhiano,amani huja Kwa kukaa na kuzungumza.Aisee,nimependa.

Maana anajua hata tukigombana tutakaoumia ni sisi digidigi.Nakupenda mama
Upo sahihi kabisa, mama anaupiga mwingi mno
 
Mimi sioni shida kama kweli CCM itabadilika na kuomba radhi , lakini kwa walivyokuwa hawana historia nzuri Shetani kuwa malaika itakuwa ni miujiza
Sema labda kuaminika hapo Kaz wanayo
 
Back
Top Bottom