Rais Samia ni mjivuni?

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
725
Reaction score
2,676
Ukiona mtu anajisifu mwenyewe kwa ahisiyo amefanya tambua ni mjivuni kwa mujibu wa wahenga wetu.

Hali hiyo ndiyo inayojionyesha kwa Rais Samia.

Mda mwingi Rais Samia amekuwa akijiona na kujisifu peke yake eti amefanya hiki na kile na hapaswi kulaumiwa kwa lawama anazolaumiwa na wengi wa Watanzania.

Utamsikia mara nimefanya jema hili na lile ama nimeleta jambo fulani.

Kwa dalili hizo je Samia naye ni mjivuni na kwa nini anajisifia badala asubiri wengine wamsifie!?
 
Taarab tu
 
Nipo hapa kwa ajili ya kuangalia comments za makasiriko za nyumbu wa mbowe tu nicheke
 
Hivi kwani lazima upost kila kinachokuja akilini mwako? Unasema Hili na lile Sasa hili ni nini na lile ni nini
Don't be fool
 
Amefanya kazi kubwa kuijenga Zanzibar na kujaza wazanzibar na waislam kwenye system ya bara
 
Akasema, "NITARUKA" wasiponisifu nitajisifu "MWENYEWE"....
 
Mbona hata Magu alikua anajisifu. Kwani hamjui kampeni zimeanza!
 
Ni limbukeni, mlevi wa madaraka lakini kubwa kuliko yote ana inferiority complex.

Anahisi uwepo wa haja wa ku prove uwezo wake kila nafasi anayopata kwa imani watu wanamuona hawezi (in reality hawezi).
 
Ni mjivuni. Na wala ujivuni si tatizo.

Mtu akiwa na akili halafu akawa mjivuni ni sawa. Ni haki yake.

Tatizo ni mtu mjinga halafu anakuwa mjivuni.
 
Kuna comment mbili nimezikubali
 
Vile vile "Wahenga wa Kisasa" wanasema, usiposifiwa, jisifie mwenyewe. Kwahiyo,Mama yetu yupo sahihi!
 
Mda mwingine utamsikia akisema anafanya kazi za nyumbani zote kama mama, eti ana uwezo wa kujigawa ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…