Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,928
Mbona wewe hajakusaidia? aanze na wewe akutoe kuwa PS wa UWT Kata usogee hata WilayaniDr Tulia anakubalika sana na wananchi na ndio maana Anaendelea kupata baraka na kubarikiwa kutokana na maombi mazuri anayoendelea kuombewa kutoka kila sehemu ya Taifa letu.kwa kuwa ni kupitia yeye kuna wananchi wengi sana wamesaidiwa na kuwezeshwa mitaji.amewapa vijana na akina mama mitaji kupitia vikundi vyao.amesaidia yatima na wajane mbalimbali bila ubaguzi wa aina yoyote ile.
Unatuwekea no zako za nini hapa? Shame on youHapana mimi siandiki hapa jukwaani kwa ajili ya kutafuta uteuzi .
Ukiona cheo Marekani, UK hawahangaiki ni cheo cha hovyo wala hakina faida yoyoteTulia amepata nafasi ya kuwa Rais wa IPU si kwa Sababu ya umairi wake, kabebwa na jina la nchi baada ya kushindanishwa na wagombea kutoka nchi dhaifu. After all nchi itagain nini kutokana na hicho cheo chake?
Kwani kabla ya Dr Tulia umejiuliza aliyemtangulia na waliomtangulia walikuwa wametokea wapi?Ukiona cheo Marekani, UK hawahangaiki ni cheo cha hovyo wala hakina faida yoyote
Acha ujinga, ni kazi ya spika kugawa mitaji kwa wanawake na vijana? You are too low, mara nyingine ficha ujinga wako hili watu wakuheshimu.Dr Tulia anakubalika sana na wananchi na ndio maana Anaendelea kupata baraka na kubarikiwa kutokana na maombi mazuri anayoendelea kuombewa kutoka kila sehemu ya Taifa letu.kwa kuwa ni kupitia yeye kuna wananchi wengi sana wamesaidiwa na kuwezeshwa mitaji.amewapa vijana na akina mama mitaji kupitia vikundi vyao.amesaidia yatima na wajane mbalimbali bila ubaguzi wa aina yoyote ile.
Urais wa IPU utakusaidia nini?Kwani kabla ya Dr Tulia umejiuliza aliyemtangulia na waliomtangulia walikuwa wametokea wapi?
Badala ya serikali kutengeneza mazingira bora kwa wananchi wake, eti Spika anagawa mitaji? atagawa Tanzania nzima?Acha ujinga, ni kazi ya spika kugawa mitaji kwa wanawake na vijana? You are too low, mara nyingine ficha ujinga wako hili watu wakuheshimu.
Acha ujinga wako hapa wewe. Ninyi si ndio mlikuwa mnatoka mate humu kuwa hawezi kushinda? Kwanini mmegeuka ghafla hivyo tena na kuhamisha magoli?Tulia amepata nafasi ya kuwa Rais wa IPU si kwa Sababu ya umairi wake, kabebwa na jina la nchi baada ya kushindanishwa na wagombea kutoka nchi dhaifu. After all nchi itagain nini kutokana na hicho cheo chake?
Hata nikikuelewesha huwezi kuelewa kitu ni mpaka ulishwe unga wa rutubaUrais wa IPU utakusaidia nini?
Unaelewa maana ya kumjengea mtu sanamu? Kwani sanamu ya hayati Nelson Mandela kule Afrika kusini au sir Alex Ferguson like Uingereza au Ronaldo kule India ulishaona zinaabudiwa na kufanyiwa hapo ibada?Kwamba tuanze kuabudu sanam la Tulia na Samia?
Tetetete, unashindana na Malawi, Somalia na Senegal unajisifia umeshinda ambapo hata Mrisho Mpoto angeshida, Tanzania inahitaji ku-review mifumo yake iondokane na umasikini pamoja na changamoto mbalimbali kutokana na rasilimali zake na inawezekana kabisa badala ya kushangili vyeo vya kijinga kama hivi. Kila sector ni aibu tupu hakuna la maana linafanyikaHata nikikuelewesha huwezi kuelewa kitu ni mpaka ulishwe unga wa rutuba
Unajenga la nini sasa?Unaelewa maana ya kumjengea mtu sanamu? Kwani sanamu ya hayati Nelson Mandela kule Afrika kusini au sir Alex Ferguson like Uingereza au Ronaldo kule India ulishaona zinaabudiwa na kufanyiwa hapo ibada?
Haya kashinda so what? Nchi itanufaika na lipi kwa hicho cheo chake hadi ajengewe maua? Akili huna.Acha ujinga wako hapa wewe. Ninyi si ndio mlikuwa mnatoka mate humu kuwa hawezi kushinda? Kwanini mmegeuka ghafla hivyo tena na kuhamisha magoli?
Acha kukurupuka wewe.wapi nimeandika maua hapo au umelewa gongo.Haya kashinda so what? Nchi itanufaika na lipi kwa hicho cheo chake hadi ajengewe maua? Akili huna.
Kwani la mandela au sir Alex au Ronaldo unafirikiri yamejengwa kwa ajili ya nini? Au hata huelewi maana yake?Unajenga la nini sasa?
Kwanini usingeenda na wewe ushindane naye ili udodoshweTetetete, unashindana na Malawi, Somalia na Senegal unajisifia umeshinda ambapo hata Mrisho Mpoto angeshida, Tanzania inahitaji ku-review mifumo yake iondokane na umasikini pamoja na changamoto mbalimbali kutokana na rasilimali zake na inawezekana kabisa badala ya kushangili vyeo vya kijinga kama hivi. Kila sector ni aibu tupu hakuna la maana linafanyika
Subiri uhamisho uende Wilayani, nadhani kusudi lako la kuweka no hapa Katibu Mkuu UWT akuone uhamishiwe Wilayani katani umechoka.Kwanini usingeenda na wewe ushindane naye ili udodoshwe