Waziri2025
Senior Member
- Sep 2, 2019
- 149
- 380
Hata siyo shida ulimbukeni wa wawatu tu kutaka kujazana mjini, nchi ya mji maeneo makubwa sana!Huko arusha ardhi ni shida mtauana bure na huyo kijana apambane atafute vyake .....anakomaa na mama ardhi yabbaba ni aibu
Suala siyo kumuondoa DAS kwa sasa kuna haja ya kuwabadilisha ma DAS wote na ma DED wote nchi nzima ili kazi ziendelee kwa ufanisi. Tunachelewa kuinua uchumi wetu ulioporomoka. Safar hii usimbakize DED hali mbaya.Hakuna uonevu hapo...mtoto Hana adabu anapelekaje malalamiko serikalini dhidi ya make?
Marijuana a.k.a cha Arusha haijawahi kumuacha mtu salama.Sisi wengine Mzazi ata akikohoa tunaitika,wewe unamshitaki Mama yako,aibu! Mwambie jamaa yako ang'ang'anie baraka ya Mama ndiyo mali kubwa kuliko hilo banda!Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Arusha kupitia kitengo kidogo Cha Malalamiko kinachosimamiwa na katibu tawala wilayani hapo,kimegeuka mahakama kwa kutoa maamuzi ya ovyo yaliyojaa Rushwa huku Haki ikipindishwa kwa maslahi yao.
Hatua hiyo imekuja kutokana na migogoro kadhaa inayoletwa katika dawati hilo la malalamiko chini ya katibu tawala wa wilaya hiyo(Das),Hanan Bafagih ambaye amekuwa alitoa maamuzi ya ovyo yenye maslahi yake bila kuzingatia kwamba Kuna nafasi nyingine iwapo mlalamikaji/ mlalamikiwa hakuridhika.
Hivi karibuni katibu tawala huyo ,Hanan Bafagih mwenye asili ya kiarabu aliamuru kubomolewa kwa banda lililojengwa katika eneo la mgogoro baada ya kusikiliza mgogoro wa ndugu baina ya Joseph Elisha na Mama yake mzazi Endesh Elisha.
Mama Endesh alikuwa akimlalamikia mwanaye (Joseph) kuvamia eneo lake. Hata hivyo Joseph katika utetezi wake alidai kwamba suala hilo lilishasikikizwa na wazee wa ukoo(Boma)pamoja a Baraza la kata ambao waliamua Banda hilo la ng'ombe wa kisasa lisibomolewe baada ya kujiridhisha kwamba eneo hilo marehemu alimkabidhi Joseph Kama Mtoto wa mwisho wa kiume kwa ajili ya kumtunza mama yake.
Pamoja na utetezi huo DAS hakuzingatia hata wosia wa marehemu unaoelekeza kwamba eneo hilo alikabidhiwa Mtoto wa mwisho ambaye ni Joseph, badala yake alitoa uamuzi wa kumwondoa kwa kubomoa Banda la Ng'ombe na kumtambua Mama yake (Endesh) kuwa ni mmiliki halali.
Pamoja na hayo hoja ya Msingi hapa mamlaka ya ofisi ya DAS kwenda kubomoa makazi ya mtu inatoka wapi ,nijuavyo Mimi mahakama pekee ndio yenye mamlaka ya kutoa maamuzi kama hayo tena kwa kuzingatia order ya mahakama.
Huu ni uonevu na matumizi mabaya ya ofisi yake lazima Das atambue mipaka yake kitengo cha Malalamiko hakina mamlaka ya kubomoa makazi ya mtu.
Tunaomba Rais Samia Suluhu aangalie utendaji wa ofisi ya DAS Arusha inanuka Rushwa na ikiwezekana amwondoshe Arusha, maana serikali ya leo sio ya Jana.
View attachment 1835559View attachment 1835561View attachment 1835562
View attachment 1835613

Haya mambo ya kupigania kitu ambacho sio chako. Nenda mbali tafuta cha kwako kama utaona mtu anakugusaOfisi ya Mkuu wa wilaya ya Arusha kupitia kitengo kidogo Cha Malalamiko kinachosimamiwa na katibu tawala wilayani hapo,kimegeuka mahakama kwa kutoa maamuzi ya ovyo yaliyojaa Rushwa huku Haki ikipindishwa kwa maslahi yao.
Hatua hiyo imekuja kutokana na migogoro kadhaa inayoletwa katika dawati hilo la malalamiko chini ya katibu tawala wa wilaya hiyo(Das),Hanan Bafagih ambaye amekuwa alitoa maamuzi ya ovyo yenye maslahi yake bila kuzingatia kwamba Kuna nafasi nyingine iwapo mlalamikaji/ mlalamikiwa hakuridhika.
Hivi karibuni katibu tawala huyo ,Hanan Bafagih mwenye asili ya kiarabu aliamuru kubomolewa kwa banda lililojengwa katika eneo la mgogoro baada ya kusikiliza mgogoro wa ndugu baina ya Joseph Elisha na Mama yake mzazi Endesh Elisha.
Mama Endesh alikuwa akimlalamikia mwanaye (Joseph) kuvamia eneo lake. Hata hivyo Joseph katika utetezi wake alidai kwamba suala hilo lilishasikikizwa na wazee wa ukoo(Boma)pamoja a Baraza la kata ambao waliamua Banda hilo la ng'ombe wa kisasa lisibomolewe baada ya kujiridhisha kwamba eneo hilo marehemu alimkabidhi Joseph Kama Mtoto wa mwisho wa kiume kwa ajili ya kumtunza mama yake.
Pamoja na utetezi huo DAS hakuzingatia hata wosia wa marehemu unaoelekeza kwamba eneo hilo alikabidhiwa Mtoto wa mwisho ambaye ni Joseph, badala yake alitoa uamuzi wa kumwondoa kwa kubomoa Banda la Ng'ombe na kumtambua Mama yake (Endesh) kuwa ni mmiliki halali.
Pamoja na hayo hoja ya Msingi hapa mamlaka ya ofisi ya DAS kwenda kubomoa makazi ya mtu inatoka wapi ,nijuavyo Mimi mahakama pekee ndio yenye mamlaka ya kutoa maamuzi kama hayo tena kwa kuzingatia order ya mahakama.
Huu ni uonevu na matumizi mabaya ya ofisi yake lazima Das atambue mipaka yake kitengo cha Malalamiko hakina mamlaka ya kubomoa makazi ya mtu.
Tunaomba Rais Samia Suluhu aangalie utendaji wa ofisi ya DAS Arusha inanuka Rushwa na ikiwezekana amwondoshe Arusha, maana serikali ya leo sio ya Jana.
View attachment 1835559View attachment 1835561View attachment 1835562
View attachment 1835613
Hivi inawezekana kweli uingie mgogoro wa ardhi na mama yako mzazi? ningekuwa huyo Dasi ningemtetea mama yake vile vile.Si akanunue ardhi,hiyo ilikuwa yao na mumewe.Ofisi ya Mkuu wa wilaya ya Arusha kupitia kitengo kidogo Cha Malalamiko kinachosimamiwa na katibu tawala wilayani hapo,kimegeuka mahakama kwa kutoa maamuzi ya ovyo yaliyojaa Rushwa huku Haki ikipindishwa kwa maslahi yao.
Hatua hiyo imekuja kutokana na migogoro kadhaa inayoletwa katika dawati hilo la malalamiko chini ya katibu tawala wa wilaya hiyo(Das),Hanan Bafagih ambaye amekuwa alitoa maamuzi ya ovyo yenye maslahi yake bila kuzingatia kwamba Kuna nafasi nyingine iwapo mlalamikaji/ mlalamikiwa hakuridhika.
Hivi karibuni katibu tawala huyo ,Hanan Bafagih mwenye asili ya kiarabu aliamuru kubomolewa kwa banda lililojengwa katika eneo la mgogoro baada ya kusikiliza mgogoro wa ndugu baina ya Joseph Elisha na Mama yake mzazi Endesh Elisha.
Mama Endesh alikuwa akimlalamikia mwanaye (Joseph) kuvamia eneo lake. Hata hivyo Joseph katika utetezi wake alidai kwamba suala hilo lilishasikikizwa na wazee wa ukoo(Boma)pamoja a Baraza la kata ambao waliamua Banda hilo la ng'ombe wa kisasa lisibomolewe baada ya kujiridhisha kwamba eneo hilo marehemu alimkabidhi Joseph Kama Mtoto wa mwisho wa kiume kwa ajili ya kumtunza mama yake.
Pamoja na utetezi huo DAS hakuzingatia hata wosia wa marehemu unaoelekeza kwamba eneo hilo alikabidhiwa Mtoto wa mwisho ambaye ni Joseph, badala yake alitoa uamuzi wa kumwondoa kwa kubomoa Banda la Ng'ombe na kumtambua Mama yake (Endesh) kuwa ni mmiliki halali.
Pamoja na hayo hoja ya Msingi hapa mamlaka ya ofisi ya DAS kwenda kubomoa makazi ya mtu inatoka wapi ,nijuavyo Mimi mahakama pekee ndio yenye mamlaka ya kutoa maamuzi kama hayo tena kwa kuzingatia order ya mahakama.
Huu ni uonevu na matumizi mabaya ya ofisi yake lazima Das atambue mipaka yake kitengo cha Malalamiko hakina mamlaka ya kubomoa makazi ya mtu.
Tunaomba Rais Samia Suluhu aangalie utendaji wa ofisi ya DAS Arusha inanuka Rushwa na ikiwezekana amwondoshe Arusha, maana serikali ya leo sio ya Jana.
View attachment 1835559View attachment 1835561View attachment 1835562
View attachment 1835613
Mimi ningekuwa DAS, banda na ng'ombe ningelichoma moto na huyo Joseph angelikuwa anaripoti ofisini kila asubuhi kulamba mboko 12 kwa mwaka mzima! Toto kubwa ung'ang'ania urithi?Wewe mleta mada acha majungu. Wewe ungekuwa ndio hiyo DAS unatatua mgogoro wa ardhi wa mtu na mama yake ungefanyaje? Kwanza huyo mtoto angekuwa na busara, kama ardhi aliachiwa na baba ili amuhudumie mama na mama hataki, angenuachia mama hiyo ardhi halafu akatafute ishu nyingine.
Kitendo tu cha kupelekana serikalini mama na mtoto kwa ardhi ya baba, kisha mtoto anakomaa ni aibu kwa mtoto. Hata mimi ningekuwa ndio muamuzi hapo, ningesimama zaidi upande wa mama kuliko mtoto.
Kwa hiyo mtoto anataka akasimame mahakamani na mama yake kuhusu ardhi ya baba? Dah!